Burundi yatakiwa kusogeza mbele uchaguzi
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
JUMUIYA ya Nchi za Afrika Mashariki (EAC), zimeitaka Burundi kusogeza mbele muda wa uchaguzi kwa mwezi mmoja na nusu ili kurejesha hali ya usalama nchini humo.
Uamuzi huo umefikiwa jana jijini Dar es Salaam na kusomwa na Katibu Mkuu wa EAC, Dk. Richard Sezibera kwa niaba ya wakuu wa nchi za Afrika Mashariki, akisema utasaidia kupunguza vurugu zilizokuwa zikiendelea nchini humo.
Burundi ilikuwa imepanga kufanya uchaguzi wa wabunge wiki ijayo na wa rais Juni...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
RAIS PIERRE NKURUNZIZA ASOGEZA MBELE UCHAGUZI WA WABUNGE BURUNDI
10 years ago
StarTV23 Feb
CHADEMA yamtaka Rais kusogeza mbele kura Katiba pendekezwa.
Na Neema Ndetto,
Dar es Salaam.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kusogeza mbele zoezi la kupiga kura ya maoni kuhusu Katiba inayopendekezwa ili uandikishaji wananchi katika daftari la wapiga kura ufanyike kwa weledi
Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Ubungo John Mnyika amesema kwa mujibu wa Katiba ni lazima wananchi wajiandikishe kwanza kwenye daftari la wapiga kura ili waweze kupiga kura ya maoni ya Katiba pendekezwa.
Mnyika amesema...
5 years ago
BBCSwahili06 May
Uchaguzi wa Burundi 2020: Vurugu na mauaji yakumba kampeini za uchaguzi Burundi
5 years ago
BBCSwahili15 May
Uchaguzi wa Burundi 2020: Kwa nini Rwanda na Burundi zimekuwa maadui wakubwa?
5 years ago
BBCSwahili14 May
Uchaguzi wa Burundi 2020: Kwanini Burundi imewatimua maafisa wa WHO?
10 years ago
Mtanzania21 Oct
Tume yatakiwa kuhakikisha uchaguzi wa haki, usawa
Na Wandishi Wetu, Dar es Salaam
TUME ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama imetakiwa kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa haki na usawa kuepuka machafuko yasitokee nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Madola, Goodluck Jonathan, alisema kufanikiwa kwa uchaguzi huo kunategemea kuwapo uwazi, haki na kufuata misingi ya utawala bora.
Alisema ili kuhakikisha amani inakuwapo...
5 years ago
BBCSwahili26 May
Uchaguzi Burundi: Agathon Rwasa aapa kupinga matokeo ya uchaguzi wa Urais mahakamani
10 years ago
Mzalendo Zanzibar21 Oct
SERIKALI YA TANZANIA YATAKIWA KUDUMISHA AMANI WAKATI WA UCHAGUZI
Profesa Nicholas Boaz, Wednesday, October 21, 2015 NA MWANDISHI WETU WASHINGTON Serikali ya Tanzania imetakiwa kuhakikisha kuwa amani na usalama vinakuwepo wakati na baada ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu utakaofanyika nchini Tanzania tarehe 25 mwezi […]
The post SERIKALI YA TANZANIA YATAKIWA KUDUMISHA AMANI WAKATI WA UCHAGUZI appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Dewji Blog13 May
Serikali yatakiwa kuhimiza wananchi kushiriki upigaji kura Uchaguzi Mkuu

Kulia mbele ni Programu Ofisa wa TGNP Mtandao, Deo Temba akiwasilisha mada kwa washiriki wa mafunzo ya kuripoti habari za wanawake katika Uchaguzi Mkuu 2015 yaliowashirikisha wachora katuni, wasanii na waandishi wa habari pamoja na baadhi ya waendeshaji wa mitandao ya jamii nchini Tanzania (bloggers) mara baada ya semina hiyo.

Baadhi ya maofisa kutoka Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) wakifuatilia mada anuai zinazowasilishwa.

Kushoto mbele ni Anna Sangai na Anna Kika ambao ni maofisa...