Chadema yazuiwa kutumia Uwanja wa Taifa
Serikali imekataa ombi la Chadema la kutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuzindua kampeni zake za uchaguzi, ikisema mazingira yaliyopo sasa hayaruhusu eneo hilo kutumika kwa shughuli za kisiasa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziSERIKALI YAKANUSHA CHADEMA KUTUMIA UWANJA WA TAIFA KUZINDUA KAMPENI ZAKE.
Na Benedict Liwenga, MAELEZO.SERIKALI imekanusha taarifa zilizojitokeza kwenye Vyombo vya habari yakiwemo magazeti na mitandao ya kijamii kwamba Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kitafanya mkutano hadhara Uwanja wa Taifa Dar es Salaam tarehe 22 Agosti, 2015.
Akizungumza na vyombo vya habari jana, Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene alisema serikali haijatoa ruhusa kwa chama chochote cha siasa kutumia uwanja wa taifa kwa ajili ya shughuli za kisiasa.
Alikiri kwamba...
Akizungumza na vyombo vya habari jana, Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene alisema serikali haijatoa ruhusa kwa chama chochote cha siasa kutumia uwanja wa taifa kwa ajili ya shughuli za kisiasa.
Alikiri kwamba...
9 years ago
StarTV20 Aug
Serikali Yakataa Ombi la UKAWA Kutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya Uzinduzi wa Kampeni Za Uchaguzi Mkuu
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) akikanusha kuhusu Chadema kutumia Uwanja wa Taifa kuzindua kampeni zake siku ya tarehe 22 Agosti, 2015 jijini Dar es Salaam. Kanusho hilo lilitolewa katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) uliopo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia taarifa kutoka Serikalini kuhusu Chadema kutumia Uwanja wa Taifa kuzindua kampeni zake siku ya tarehe 22 Agosti, 2015 jijini Dar es Salaam. Kanusho hilo lilitolewa katika Ukumbi wa Idara...
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia taarifa kutoka Serikalini kuhusu Chadema kutumia Uwanja wa Taifa kuzindua kampeni zake siku ya tarehe 22 Agosti, 2015 jijini Dar es Salaam. Kanusho hilo lilitolewa katika Ukumbi wa Idara...
10 years ago
Michuzi15 Sep
MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA
Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano mkuu wa chadema Wakicheza kwa furaha muda mfupi baada ya matokeo ya Uchaguzi kwenye Mkutano Mkuu Kutangazwa Usiku huu Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA kwa kumchagua tena kushika nafasi ya mwenyekiti Mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipongezwa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara Profesa Abdallah Safari(Kulia)na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe wakipungia kwa...
9 years ago
VijimamboTASWIRA ZA UWANJA WA KAITABA UNAVYOENDELEA MPAKA SASA MJINI BUKOBA. KUMALIZIKA KUJENGWA MWEZI DESEMBA 2015, KAGERA SUGAR KUTUMIA UWANJA WA MUSOMA KWA SASA.
Taswira ya Uwanja wa Kaitabaulivyo kwa sasa.
Nyasi bandia zikiwa zimewekwa pembeni ya Uwanja tayari kwa kutandikwa katika Uwanja huoMwakilishi kutoka shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya kukagua maendeleo ya uwekaji nyasi bandi katika uwanja wa mpira wa Kaitaba Amewaomba mafundi kuongeza kasi ili ukamilike kwa muda uliopangwa. Mwakilishi huyo wa FIFA Mhandisi Kelvin Macklain, alitua Bukoba wiki iliyopita na kukagua hatua kwa hatua uwanja huo na alifika hapo kukagua hatua za mwisho...
Nyasi bandia zikiwa zimewekwa pembeni ya Uwanja tayari kwa kutandikwa katika Uwanja huoMwakilishi kutoka shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya kukagua maendeleo ya uwekaji nyasi bandi katika uwanja wa mpira wa Kaitaba Amewaomba mafundi kuongeza kasi ili ukamilike kwa muda uliopangwa. Mwakilishi huyo wa FIFA Mhandisi Kelvin Macklain, alitua Bukoba wiki iliyopita na kukagua hatua kwa hatua uwanja huo na alifika hapo kukagua hatua za mwisho...
9 years ago
MichuziMazishi ya kiongozi wa kikosi cha wataalamu wa China katika mpango wa ushirikiano wa ujenzi wa uwanja wa taifa na uwanja wa Uhuru
Mke wa marehemu Eng. QI XIN wa pili kutoka kulia akitoa heshima zake za mwisho katika mazishi ya mume wake ambaye alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa na Uwanja wa Uhuru akiuaga mwili wa mpendwa wake katika mazishi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga wa kwanza kushoto akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa marehemu Eng. QI XIN ambaye...
10 years ago
MichuziTaifa Stars yatakata Uwanja wa Taifa leo,Yaitungua Bao 4-1 Benin
Mshambuliaji wa timu ya Taifa Stars,Juma Luizio akiipachikia bao nne timu yake katika mtangange wa kikataifa wa kirafiki dhidi ya Benin,uliomalizika hivi punde katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Taifa Stars imeshinda 4-1 dhidi ya Benin. Wachezaji wa Taifa Stars,wakishangilia ushindi wao huku wakiwaacha wapinzani wao wa Benin wakiwa hoi tena wakiwa hawaamini wanachokiona uwanjani hapo. Washabiki wa Taifa stars wakiisapoti vilivyo timu yao. Ubao wa ulionyesha hivi kabla jamaa...
9 years ago
GPL06 Sep
10 years ago
Vijimambo06 Dec
MASHINDANO YA WAZI YA UBINGWA WA TAIFA YANAVYO ENDELEA KATIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA
Mabondia Abuu Said wa JKT akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Adolf Emanuel wa Kigoma wakati wa mashindano ya wazi ya taifa yanayoendelea katika uwanja wa ndani wa taifa Said alishinda mpambano huo na kuingia fainali Uringo mpya wa Shirikisho la ngumi za Ridhaa Nchini BFT walipewa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel hivi karibuni wakiufanyia majaribio ya kuuchezeshea ngumi kabla ya makabidhiano rasmi na kampuni hiyoBaadhi ya viongozi wa mchezo wa ngumi nichini wakifuraia jambo...
10 years ago
GPLMKESHA MKUU WA KULIOMBEA DUA TAIFA KUFANYIKA DESEMBA 31-2014 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR
 Mwenyekiti wa Mkesha Mkuu wa Kuliombea Taifa (Dua maalumu), Askofu Godfrey Mallassy (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mkesha huo utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Desemba 31 mwaka huu. Kulia ni Askofu William Mwamalanga wa Kanisa la Kiinjili la Kipentecoste Tanzania.  Mwenyekiti wa Mkesha Mkuu wa Kuliombea Taifa (Dua Maalumu), Askofu Godfrey Mallassy. Kutoka kulia...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania