Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chalenji yazivurugia Yanga, Simba, Azam

Mashindano ya Kombe la Chalenji yaliyoanza jana nchini Ethiopia yamedaiwa kuathiri kwa kiasi kikubwa programu na mipango ya timu za Ligi Kuu, Yanga, Simba na Azam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Yanga, Simba, Azam zatia mkono fainali Kombe la Chalenji

Rwanda na Uganda zitakutana Jumamosi katika fainali ambayo itawakutanisha kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima na kiungo wa Azam, Jean Baptiste Mugiraneza na beki wa Simba, Juuko Murshid na hivyo kuwa kivutio kwa mashabiki wa klabu hizo kubwa nchini.

 

9 years ago

Mwananchi

NUSU FAINALI CHALENJI: Yanga, Simba vitani Ethiopia

Licha ya Tanzania kutolewa katika mashindano  ya Chalenji yanayoingia nusu fainali leo, bado macho na masikio ya mashabiki wa soka nchini yatakuwa  kwa nyota wa Yanga, Simba na Azam wanaoziwakilisha Rwanda, Uganda.

 

9 years ago

Habarileo

Azam, Yanga, Simba vitani

LEO ni vita ya namba. Baada ya mapumziko ya mwezi mmoja michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara itaendelea kutimua vumbi katika viwanja sita tofauti, huku Simba, Azam FC na Yanga kila moja ikiingia katika vita ya namba kusaka pointi tatu muhimu.

 

9 years ago

Mwananchi

Simba, Azam ni kikwazo Yanga

Kocha wa Yanga, Hans Pluijm amesema hatima ya timu yake kutetea ubingwa wa Ligi Kuu imeshikiliwa na wapinzani wake wakubwa Azam na Simba.

 

9 years ago

Mtanzania

Yanga, Simba, Azam mawindoni

hans-pluijmNA WAANDISHI WETU

VIGOGO wa soka nchini timu za Simba, Yanga na Azam, leo zinatarajiwa kushuka dimbani katika viwanja tofauti kuchuana vikali katika mechi za mwendelezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), iliyoanza kutimua vumbi Jumamosi iliyopita.

Mabingwa watetezi wa ligi hiyo Yanga, wapo kileleni kwa tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa huku wapinzani wao, Simba na Azam wakifuatia jambo linalofanya ushindani wa mechi za leo kuwa mkubwa kutokana na timu hizo kuwa kwenye vita ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Yanga, Azam, Simba usipime

Yanga na Azam zimeendelea kujikita kileleni mwa ligi baada  ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar na Coastal Union, huku Simba ikiichapa Stand United kwa bao 1-0.

 

9 years ago

Mtanzania

Vita ya Yanga, Azam, Simba

simba,azam,yangaNA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM

TIMU za Yanga, Azam na Simba, leo zinaingia kibaruani kwa mara nyingine katika viwanja tofauti katika raundi ya 12 ya Ligi Kuu Tanzania Bara.

Mabingwa watetezi wa ligi hiyo, Yanga, wao watakuwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kuwakabili Stand United ya Shinyanga.

Yanga, wanaoongoza ligi hiyo wakiwa na pointi 27 baada ya kucheza mechi 11, wanashuka dimbani wakitokea mkoani Tanga, ambako wamecheza mechi mbili baina ya Mgambo Shooting na Africans Sports,...

 

9 years ago

BBCSwahili

Yanga,Simba,Azam zapeta

Vigogo wa soka nchi Tanzania Yanga, Simba pamoja na Azam FC wamendeleza wimbi la ushindi katika michezo ya ligu kuu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani