Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NUSU FAINALI CHALENJI: Yanga, Simba vitani Ethiopia

Licha ya Tanzania kutolewa katika mashindano  ya Chalenji yanayoingia nusu fainali leo, bado macho na masikio ya mashabiki wa soka nchini yatakuwa  kwa nyota wa Yanga, Simba na Azam wanaoziwakilisha Rwanda, Uganda.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Yanga, Simba, Azam zatia mkono fainali Kombe la Chalenji

Rwanda na Uganda zitakutana Jumamosi katika fainali ambayo itawakutanisha kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima na kiungo wa Azam, Jean Baptiste Mugiraneza na beki wa Simba, Juuko Murshid na hivyo kuwa kivutio kwa mashabiki wa klabu hizo kubwa nchini.

 

11 years ago

GPL

ZAMBIA NAO WATINGA NUSU FAINALI CHALENJI

Wachezaji wa Zambia wakishangilia ushindi. Timu ya Zambia nayo imefanikiwa kutinga nusu fainali michuano ya Kombe la Chalenji inayoendelea nchini Kenya baada ya kuiondoa timu ya Burundi kwa penalti 4-3 muda mfupi uliopita! Mechi hiyo ilimalizika 0-0 katika muda wa kawaida wa dakika 90.

 

9 years ago

Habarileo

Stars kuivaa Ethiopia robo fainali Chalenji

TIMU ya soka Taia ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ itacheza na Ethiopia katika robo fainali ya Kombe la Chalenji kesho.

 

11 years ago

GPL

STARS YAIVUA UBINGWA UGANDA, YATINGA NUSU FAINALI CHALENJI

TIMU ya Kilimanjaro Stars imefanikiwa kusonga mbele hatua ya Nusu Fainali baada ya kuwatoa Mabingwa watetezi wa Kombe hilo Uganda kwa ushindi wa changamoto ya penalti 3-2 katika michuano ya kombe la Chalenji inayoendelea jijini Nairobi, nchini Kenya lakini shujaa akiwa kipa Ivo Mapunda . Katika mchezo huo uliopigwa katika Uwanja wa Manispaa ya mji wa Mombasa nchini Kenya, Uganda ndio waliokuwa wa kwanza kupata bao la kuongoza...

 

9 years ago

BBCSwahili

nusu fainali Cecafa :Uganda, Ethiopia

Timu ya Taifa ya Uganda na Wenyeji Ethiopia zimekua timu za kwanza kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Cecafa 2015

 

9 years ago

Mwananchi

Chalenji yazivurugia Yanga, Simba, Azam

Mashindano ya Kombe la Chalenji yaliyoanza jana nchini Ethiopia yamedaiwa kuathiri kwa kiasi kikubwa programu na mipango ya timu za Ligi Kuu, Yanga, Simba na Azam.

 

10 years ago

BBCSwahili

Simba yatinga nusu Fainali ya Mapinduzi

Timu ya Simba imetinga hatua ya nusu fainali baada ya kuichakaza Taifa Jang'ombe mabao 4-0 katika kuwania kombe la Mapinduzi

 

9 years ago

Mtanzania

Yanga, Azam, Simba vitani

Pg 32 Okt 17NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

LIGI Kuu ya Tanzania Bara inaendelea leo kwa mechi sita katika viwanja tofauti huku Yanga ikiikaribisha Azam FC katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Yanga, Azam na Simba zitakuwa zikicheza kusaka ushindi katika mechi zao ili zijiweke katika nafasi nzuri katika mbio za kuwania taji la Ligi Kuu Tanzania Bara.

Yanga ina pointi 15 sawa na Azam lakini inaongoza kwa kupachika mabao 13 huku Azam ikiwa na mabao 9, hivyo kila moja itakuwa ikisaka ushindi ili kuongoza...

 

9 years ago

Habarileo

Azam, Yanga, Simba vitani

LEO ni vita ya namba. Baada ya mapumziko ya mwezi mmoja michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara itaendelea kutimua vumbi katika viwanja sita tofauti, huku Simba, Azam FC na Yanga kila moja ikiingia katika vita ya namba kusaka pointi tatu muhimu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani