Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chama cha wanasoka Temeke chapewa msaada

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Ndg Phares Magesa akiwa na kiongozi wa chama cha wachezaji wa soka Temeke Ndg. Kapilima akimkabidhi mchango kusaidia kuimarisha chama hicho wilayani Temeke.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Chama cha wanasoka kitathmini nafasi yake katika usajili

Msimu wa usajili wa wachezaji wa klabu za Ligi Kuu, Daraja la Kwanza na la pili umeanza rasmi baada ya kumalizika kwa msimu wa mwaka 2014/15 na tayari klabu zimeanza kuonyesha uwezo wao wa kifedha kwa kusajili wachezaji kwa donge nono.

 

11 years ago

Michuzi

Times Fm yachangia chama cha Albino wilaya ya Temeke shilingi milioni tatu

100.5 Times Fm Radio imetoa kiasi cha shilingi milioni tatu kwa albino wa wilaya ya Temeke, Dar es Salaam kama sehemu ya mchango wao kwa jamii hiyo yenye ulemavu wa ngozi inayokumbwa na changamoto nyingi.
Katibu wa Kampuni ya Times Fm Radio, Amani Joachim ameukabidhi uongozi wa chama hicho hundi halisi akiwa ameambatana na Aluta Warioba (Meneja Vipindi Msaidizi) na Mzee Chapuo kutoka katika idara ya ubunifu.
Amani Joachim aliwaomba wapokee kiasi hicho kwa kuwa bado Times Fm...

 

5 years ago

Michuzi

GENERAL PETROLEM (GP) YATOA MSAADA WA VYAKULA KUWASAIDIA WANANCHI WA KIPATO CHA CHINI TEMEKE


Katibu Tarafa ya Mbagala Bertha Minga(katikati) ambaye amemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam Felix Lihaniva akipokea msaada wa vyakula mbalimbali kutoka kwa Meneja Mauzo wa Kampuni ya General Petroleum (GP) Zafar Khan(kulia) pamoja na ofisa mwingine wa kampuni hiyo.Msaada huo wa vyakula unakwenda kutolewa kwa wananchi wenye kipato cha chini ndani ya Wilaya hiyo.
Bertha Minga ambaye ni Katibu Tarafa ya Mbagala jijini Dar es Salaam(kushoto) akiwa na Meneja Mauzo wa...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Mkubwa na Wanawe yatoa msaada kwa kituo cha watoto yatima Temeke

Katika kusherehekea kutimiza mwaka mmoja wa Yamoto Band, kituo cha Mkubwa na Wanawe leo kimekabidhi msaada kwenye kituo cha watoto yatima kilichopoa Temeke, Dar es Salaam. Akikabidhi msaada huo, mkuu wa kituo hicho, Said Fella alisema: Kabla ya kuzungumza chochote Napenda kutoa shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu kwa kila jambo ambalo limefanikiwa ni kwa kupitia […]

 

10 years ago

Michuzi

High Class Look na Mkubwa na Wanawe Yatoa Msaada kwa kituo cha Watoto Yatima temeke

Na Mkubwa FelaKabla ya kuzungumza chochote Napenda kutoa shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu kwa kila jambo ambalo limefanikiwa ni kwakupitia yeye aliye Muweza wa yote, Pili nawashukuru Watanzania wote karibu kila nyanja kwa kuonyesha ushirikiano wao kwa Mkubwa na wanawe mpaka kufikia hapa hii leo. Kwani toka ianzishwe Yamoto Band leo leo ni siku ya furaha kwetu kusheherekea Mwaka mmoja ambao umefanyika kuwa na mafaanikio mengi makubwa, moja kati ya mafanikio hayo ni kuuza kazi zetu kweye...

 

10 years ago

Vijimambo

AKINA MAMA WA KIKUNDI CHA ZITEZEN FOUNDATIO WATOA MSAADA WA MAGODORO KATIKA HOSPITALI YA TEMEKE

Akina mama Wa Citizen Foundation wakiongozwa na askari polisi wa kituo cha cahng'ombe wakati wakifanya maandamano kutoka kituoni hapo kwenda kukabidhi msaada wa magodoro hospitali ya temeke.
 Akina mama wa Citizen Foundation wakiwa nje ya Hospitali ya Wilaya ya Temeke na walikokwenda kukabidhi magodoro.
 Mwenyekiti wa Citezen Foundation, Lilian Wasira akimkabidhi moja ya magodoro, Amosi Kabelege ambaye ni Msimamizi Mkuu wa Hospitali ya Temeke. Mwenyekiti wa Citizen Foundation, Lilian Wasira...

 

10 years ago

Michuzi

WAKINA MAMA WA KIKUNDI CHA ZITEZEN FOUNDATIO WATOA MSAADA WA MAGODORO KATIKA HOSPITALI YA TEMEKE

Akina mama wa Kikundi cha Citizen cha Tabata jijini Dar es Salaam, jana kilitoa magodoro 50 na katoni 25 za maji na 25 za soda aina ya Cocacola ikiwa ni kuadhimisha Siku ya Akina mama Duniani.
Akizungumza wakati akikabidhi msaada huo, Mwenyekiti wa kikundi hicho, Lilian Wasira alisema wameguswa sana na tatizo la akina mama kujifungulia sakafuni ndiyo maana wakaona watoe msaada huo.
Lilian alisema, wameamua kufanya hivyo badala ya kusherehea siku hiyo kwenye kumbi za burudani huku wenzao...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA MSALABA MWEKUNDU CHAKABIDHI MSAADA KWA WATOTO WALIOATHIRIWA NA MVUA

Mwakilishi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania { RED CROSS } Bwana Shaaban Ali Iddi akikabidhi msaada wa Viatu Pair 90 kwa Katibu wa Kamati ya Taifa ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar Dr. Khalid Salum Moh’d kwa ajili ya watoto wa familia zilizopata maafa ambao wapo Kambini Skuli ya mwanakwerekwe “C” .
Katibu wa Kamati ya Taifa ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar Dr. Khalid Salum Moh’d akiushukuru Uongozi wa Red Cross kwa misaada yao ya Kibinaadamu waliyotoa kwa ajili ya familia...

 

10 years ago

Michuzi

UJUMBE WA CHAMA CHA FRELIMO CHA MSUMBIJI WAKUTANA NA BAADHI YA WAJUMBE WA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBAR

Mjumbe wa Kamati ya CCM Taifa Bi. Khadija Hassan Aboud akimkaribisha Mbunge ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha FRELIMO cha Msumbiji Bi. Nyeleti Mondlane Ofisi kuu ya CCM Zanzibar. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha FRELIMO cha Msumbiji Bi. Nyeleti Mondlane akisaini kitabu cha wageni alipofika Ofisi kuu ya CCM Zanzibar (kulia) Katibu wa FRELIMO Zanzibar Bw. Agostino Andrea. Kiongozi wa Ujumbe wa Chama cha FRELIMO Bi. Nyeleti Mondlane (watatu kushoto) akibadilishana mawazo na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani