Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Changamoto za madaktari wanaopasua wafu

Je, watu wangapi wangependa kufanya kazi katika vyumba vya kuhifadhi miili? Bila shaka si wengi lakini wanaopitia hali hiyo kila mara ni madkatari wanaopasua wafu

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WAKISHIRIKIANA NA MADAKTARI WA ZANZIBAR WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR

  Dokta Gao Yun Lai akimpima presha na sukari bwana Mohd Ali mkazi wa Kisauni upimaji huo ulifanyika katika kijiji  cha kisauni Zanzibar.   Dokta Fadhil Mohd ambae ni dokta dhamana kanda ya Unguja akitoa maelezo kwa waandishi wa habari hawapo pichani.Wananchi mbalimbali wakipatawa  huduma za matibabu katika kijiji cha Kisauni zanzibar.Picha na Abdalla Omar habari maelezo zanzibar.

 

11 years ago

BBCSwahili

Jumba la wafu na wafungwa la Nigeria

Maiti zilizooza na watu waliofungwa minyororo wakutikana kwenye nyumba moja mjini Ibadan, kusini-magharibi mwa Nigeria

 

11 years ago

BBCSwahili

Nelson Mandela:Misa ya wafu

Maelfu ya watu wanaendelea kuwasili katika uwanja mkubwa wa FNB mjini Johanessburg kwa ajili ya misa ya wafu ya hayati Nelson Mandela,

 

11 years ago

BBCSwahili

Mandela:Misa ya wafu kufanyika leo

Maelfu ya watu wanaendelea kuwasili katika uwanja mkubwa wa FNB mjini Johanessburg kwa ajili ya misa ya wafu ya hayati Nelson Mandela,

 

11 years ago

BBCSwahili

Yanayojiri kwenye misa ya wafu ya Mandela

Haya ni matokeo kama yanavyojiri nchini Afrika Kusini misa ya wafu ya Mandela ikiendelea

 

10 years ago

BBCSwahili

Misa ya wafu ya Sata yafanyika London

Misa ya wafu ya aliyekuwa rais wa Zambia Michael Sata ilifanyika mjini London Uingereza

 

11 years ago

Mwananchi

Changamoto kwa Wafanyabiashara wadogo wapewa changamoto

Wafanyabiashara wadogo wametakiwa kuacha woga na kuanza kutumia taasisi za fedha kama njia rafiki na chachu ya maendeleo na kukuza mitaji yao.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kodi kwa Kuku, Ng'ombe na Wafu Kenya

Mamia ya wakenya waliandamana katika sehemu mbali mbali nchini humo kupinga kutozwa kodi ya ziada na serikali za majimbo

 

10 years ago

Mtanzania

Watoto, wafu waandikishwa kupiga kura Z’bar

NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimetoa matokeo ya utafiti wake kuhusu Daftari la Wapiga Kura Zanzibar ikieleza kuwa watoto wasiotimiza umri wa miaka 18 na watu waliofariki dunia, majina yao yanaendelea kutumika katika dafrati hilo huku Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) ikikaa kimya.
Kutokana na hali hiyo CUF kimesema kinashangazwa na hatua ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kuandaa mipango kinayodai ni ya kuendelea kuhujumu upigaji kura kwa kutumia vyombo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani