Changamoto za wajasiriamali -3
Wiki iliyopita nilieleza namna mitaji ilivyo changamoto kwa wajasiriamali wadogo na baadhi ya wajasiriamali wa kati ikiwa ni mfululizo wa makala za changamoto zinazowakabili katika shughuli zao za kila siku kwa lengo la kuona tulipo na tunapotakiwa kuwa kwa maendeleo ya mtu binafsi na taifa kwa jumla.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Nov
Changamoto zinazowakabili wajasiriamali-4
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Hizi ni changamoto za wajasiriamali nchini - 5
11 years ago
Mwananchi02 Jul
Vifungashio changamoto kwa wajasiriamali
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Changamoto kuu za wajasiriamali na namna ya kuzishinda-2
5 years ago
Michuzi11 Jun
WAJASIRIAMALI MWANZO MGUMU WAKABILIWA NA CHANGAMOTO YA USAFIRI KUSAFIRISHA MAWE
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/IMG-20200610-WA0035.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/IMG-20200610-WA0036.jpg)
***************************
NA MWAMVUA MWINYI
WAJASIRIAMALI wa Kikundi cha Mwanzo Mgumu, kilichopo Kijiji cha Kwedikwazu Kata ya Kabuku wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga, wanahitaji usafiri utaowarahisishia kazi zao za ubebaji wa mawe.
Wakizungumza na Waandishi wa habari katika eneo wanalofanya shughuli zao za kubangua mawe, Wajasiriamali hao walisema kuwa wananufaika na machimbo ya mawe yanayotumika kutengenea Marumaru na Jipsam katika majengo mbalimbali.
Katibu wa kikundi hicho Saumu Kisaka...
9 years ago
Dewji Blog22 Oct
Mama Samia akutana na Wanawake wa UWT, Walemavu na Wajasiriamali mkoa wa Dar kujua changamoto zao
Mgombea Mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan (kushoto), akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wanachama wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Wajasiriamali pamoja na wanachama kutoka Shirikisho la Vyama vya Wenye Ulemavu (Shivyawata), baada ya kupokea changamoto zao Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti wa UWT Taifa, Sophia Simba akizungumza katika mkutano huo.
Mmoja wa viongozi kutoka Shirikisho la Vyama vya Wenye...
9 years ago
VijimamboMAMA SAMIA AKUTANA NA WANAWAKE WA UWT, WALEMAVU NA WAJASIRIAMALI MKOA WA DAR ES SALAAM KUJUA CHANGAMOTO ZAO
10 years ago
Dewji Blog26 May
PSPF ya ungana na wanawake wajasiriamali katika hafla ya kuendeleza umoja wa wajasiriamali Dar
Meneja msaidizi wa uchangiaji wa hiari Matilda Nyallu wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) akieleza namna ya mfuko wa Hiari unavyo kuwa na nijinsi gani utafaidika pindi unapo jiunga na kuwa mmoja wa wadau wa (PSPF).
Kushoto Muandaaji wa sherehe ya wanawake wajasiriamali Shamimu Mwasha ambaye ni mdau wa (PSPF) akitoa ufafanuzi wa sherehe hiyo na kuwakaribisha wageni walioweza kuhudhuriapembeni ni mshereheshaji wa sherehe hiyo Jokate Mwegelo.
Afisa wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) kushoto Hadji...
10 years ago
VijimamboPSPF YA UNGANA NA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KATIKA HAFRA YA KUENDELEZA UMOJA WA WAJASIRIAMALI DAR ES SALAAM