Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chanzo cha kuporomoka ufaulu chatajwa

WADAU wa elimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya wamesema moja ya sababu zinazochangia kuporomoka kwa ufaulu kwa wanafunzi wa shule za  msingi na sekondari ni manyanyaso ya  walimu wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Chanzo cha upungufu wa dawa chatajwa

SERIKALI imesema tatizo la upungufu wa dawa katika Zahanati, vituo vya afya na hospitali za umma nchini, limetokana na tabia ya maslahi binafsi ya baadhi ya watumishi, ambao huhitaji mgawo wa asilimia 10 ya mauzo ya dawa katika maduka binafsi.

 

11 years ago

Habarileo

Chanzo cha kukosekana maendeleo ya haraka chatajwa

UKOSEFU wa midahalo miongoni mwa Watanzania kuhusu uongozi na utawala bora imeelezwa kusababisha kukosekana kwa maendeleo katika sekta mbalimbali nchini.

 

11 years ago

GPL

CHANZO CHA AJALI YA SALUM MKAMBALA CHATAJWA

Mtangazaji wa Channel  Salumu Mkambala, akipelekwa Theatre katika Hospitali ya Tumbi, Kibaha, Pwani. Msanii wa kundi la Mizengwe, Hemed Maliyaga (wa kwanza kulia) akisaidiana na ndugu pamoja na mke wa Mkambala (wa tatu kushoto) kumpeleka mgonjwa Theatre.…

 

10 years ago

Habarileo

Chanzo cha kutopungua vifo vya akinamama chatajwa

Hawa GhasiaSERIKALI imesema kwamba kutofikiwa kwa lengo la kupunguza vifo vya akinamama kwa mujibu wa Malengo ya Milenia, hakutokani na kukosekana kwa mpango mkakati.

 

9 years ago

Bongo Movies

Chanzo Lulu Kutodumu na Wanaume Chatajwa

Ubuyu! Licha kujaliwa umbo matata na mvuto wa aina yake, staa wa Bongo Movies Elizabeth Michael ‘Lulu’, anadaiwa kutodumu na mwanaume, Ijumaa Wikienda limetajiwa chanzo cha hali hiyo.
Kwa mujibu wa sosi wa ndani wa familia ya staa huyo, chanzo kikubwa cha Lulu kutodumu na mwanaume anayempata kama mwandani wake ni mama yake, Lucresia Karugila.

Ilidaiwa kwamba, kama ilivyokuwa kwa Wema Sepetu zamani, mama yake, Miriam Sepetu alidaiwa kumwekea ‘patroo’ mrembo huyo kwa kumchagulia mwanaume wa...

 

11 years ago

Habarileo

Kiini cha majengo mabovu chatajwa

UKWEPAJI wa gharama za ujenzi wa nyumba, unadaiwa kuchangia kuwepo majengo yasiyo na ubora katika maeneo mbalimbali hapa nchini.

 

9 years ago

StarTV

Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi chatajwa kuwa mfano

Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi MPA mkoani Kilimanjaro kimetajwa kuwa huenda kikawa chuo cha mfano kwa wakulima wa mbogamboga na matunda mkoani humo kutokana na kuanzisha kilimo bora cha kisasa ambacho kinatajwa kuleta tija zaidi.

Mkuu wa chuo hicho Matanga Mbushi amebainisha hayo wakati wa ziara ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Amos Makalla alipotembelea chuoni hapo na kujionea hali halisi ya kilimo hicho.

 Aslimia kubwa ya wakulima wa mbogamboga na matunda hapa nchini  hulima kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Ufaulu kidato cha sita juu

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde, akitangaza matokeo ya kidato cha sita.WATAHINIWA 38,853 kati ya watahiniwa 40,753 waliofanya mtihani wa Kidato cha Sita kwa mwaka 2015, wamefaulu mitihani yao ikiwa ni ongezeko la asilimia 1.67 ukilinganisha na matokeo ya mwaka jana.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Arusha kupandisha kiwango cha ufaulu

NA LILIAN JOEL ARUSHA
HALMASHAURI ya Jiji la Arusha kupitia mpango wa matokeo makubwa (BRN), inatarajia kupandisha kiwango cha ufaulu kwa mwaka 2014, hadi kufikia asilimia 92  kwa elimu ya msingi.
Takwimu zinaonyesha katika matokeo ya mwaka jana, ufaulu ulikuwa asilimia 85.
Hayo yalisemwa juzi na Ofisa ElimuTaaluma wa Shule za Msingi katika halmashauri ya Jiji hilo, Mbwana Juma, alipokuwa akizungumza wakati wa mafunzo ya  mbinu za kufundisha masomo ya hisabati na sayansi.
Alisema  kupitia BRN...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani