Chanzo cha kutopungua vifo vya akinamama chatajwa
SERIKALI imesema kwamba kutofikiwa kwa lengo la kupunguza vifo vya akinamama kwa mujibu wa Malengo ya Milenia, hakutokani na kukosekana kwa mpango mkakati.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
Umaskini chanzo cha vifo vya wajawazitoÂ
IMEELEZWA kuwa wajawazito wengi wanapoteza maisha wakati wa kujifungua kutokana na umaskini wa kipato. Kauli hiyo ilitolewa juzi na Muuguzi Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo, mkoani Kagera, Revocatus Dominick, alipozungumza...
10 years ago
Habarileo10 Dec
Chanzo cha upungufu wa dawa chatajwa
SERIKALI imesema tatizo la upungufu wa dawa katika Zahanati, vituo vya afya na hospitali za umma nchini, limetokana na tabia ya maslahi binafsi ya baadhi ya watumishi, ambao huhitaji mgawo wa asilimia 10 ya mauzo ya dawa katika maduka binafsi.
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
Chanzo cha kuporomoka ufaulu chatajwa
WADAU wa elimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya wamesema moja ya sababu zinazochangia kuporomoka kwa ufaulu kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ni manyanyaso ya walimu wa...
11 years ago
Habarileo20 Mar
Chanzo cha kukosekana maendeleo ya haraka chatajwa
UKOSEFU wa midahalo miongoni mwa Watanzania kuhusu uongozi na utawala bora imeelezwa kusababisha kukosekana kwa maendeleo katika sekta mbalimbali nchini.
11 years ago
GPLCHANZO CHA AJALI YA SALUM MKAMBALA CHATAJWA
11 years ago
Habarileo30 May
Watoa huduma waaswa kutokuwa chanzo cha vifo
MKUU wa Mkoa wa Dodoma Dk Rehema Nchimbi amesema pamoja na changamoto mbalimbali zinazokabili kampeni ya kupunguza vifo vya akinamama wajawazito na watoto, lakini baadhi ya vifo hivyo husababishwa na uzembe wa watoa huduma za afya.
9 years ago
Bongo Movies17 Nov
Chanzo Lulu Kutodumu na Wanaume Chatajwa
Ubuyu! Licha kujaliwa umbo matata na mvuto wa aina yake, staa wa Bongo Movies Elizabeth Michael ‘Lulu’, anadaiwa kutodumu na mwanaume, Ijumaa Wikienda limetajiwa chanzo cha hali hiyo.
Kwa mujibu wa sosi wa ndani wa familia ya staa huyo, chanzo kikubwa cha Lulu kutodumu na mwanaume anayempata kama mwandani wake ni mama yake, Lucresia Karugila.
Ilidaiwa kwamba, kama ilivyokuwa kwa Wema Sepetu zamani, mama yake, Miriam Sepetu alidaiwa kumwekea ‘patroo’ mrembo huyo kwa kumchagulia mwanaume wa...
5 years ago
BBCSwahili07 May
Vifo vya corona: Kwanini Uingereza imerekodi vifo vingi vya corona Ulaya?
10 years ago
VijimamboVYOMBO VYA HABARI VINAWEZA KUZUIA AU KUWA CHANZO CHA MACHAFUKO