Chanzo kushuka kwa thamani ya shilingi chabainishwa.
Na Ephrasia Mawalla,
Dar es Salaam.
Waziri Kivuli wa Fedha James Mbatia ameitaka Benki kuu ya Tanzania kuchukua hatua za haraka za kupunguza mzunguko wa Fedha za Kigeni hapa nchini kama njia mojawapo ya kuimarisha shilingi ya Tanzania.
Ndani ya kipindi cha mwezi mmoja, thamani ya shilingi imeshuka kwa asilimia 20, kiwango ambacho kwa mujibu wa Mbatia ni kikubwa.
Kwa sasa dola moja ni sawa na shilingi 2010 kutoka shilingi 1650.
Mbatia amesema kutokana na kuporomoka haraka kwa...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
MCHUMI WA BOT AELEZA SABABU ZA KUSHUKA NA KUPANDA GHAFLA KWA THAMANI YA SHILINGI YA TANZANIA
Mchumi kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Lusajo Mwankemwa akielezea sababu za kushuka na kupanda ghafla kwa thamani ya Shilingi ya Tanzania katika banda la BOT viwanja vya SabaSaba jijjini Dar es salaam Juni 30, 2015
10 years ago
Zitto Kabwe, MB03 May
Maelezo ya Gavana Prof Benno Ndulu Kuhusu Kushuka kwa Thamani ya Shilingi ya Tanzania kwa Kamati ya Fedha Uchumi na Biashara
Maelezo ya Gavana Prof Benno Ndulu Kuhusu Kushuka kwa Thamani ya Shilingi ya Tanzania kwa Kamati ya Fedha Uchumi na Biashara
View this document on Scribd

10 years ago
Mwananchi23 Jan
Wakerwa shilingi kushuka thamani
Wasomi nchini wamezungumzia kuhusu kupanda kwa thamani ya Dola ya Marekani dhidi ya Shilingi ya Tanzania na kusema kunasababishwa na kuongezeka kwa uagizaji wa bidhaa kutoka nje na kusababisha fedha nyingi kutafutwa ili kulipia bidhaa hizo.
10 years ago
Mwananchi04 May
KUSHUKA KWA SHILINGI: Bajeti hii ‘changa la macho’ - Wataalamu
>Kuendelea kuporomoka kwa thamani ya shilingi kumeifanya bajeti ya mwaka jana kuonekana kubwa ikilinganishwa na ya Bajeti ijayo endapo makadirio yake yatawekwa katika dola ya Marekani.
10 years ago
Michuzi
10 years ago
MichuziWAZIRI KIVULI WA FEDHA, JAMES MBATIA AZUNGUMZIA KUPOROMOKA KWA THAMANI YA SHILINGI TANZANIA
5 years ago
Michuzi
Vodacom Tanzania PLC yakabidhi vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 300 kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupambana na ugonjwa wa Covid-19

5 years ago
Michuzi
RC TANGA APOKEA VIFAA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 20.4 KUTOKA TANGA CEMENT KWA AJILI KUKABILIANA NA CORONA
Mwandishi Wetu, Michuzi TV -Tanga
MKUU wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela amepokea misaada yenye thamani ya jumla ya Shilingi milioni 20.4 kutoka Kampuni ya Tanga Cement kwa ajili ya kukabiliana na homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona.
Akizungumza baada ya kupokea msaada huo mkoani hapa, Shigile amesema kuwa kwa niaba ya wananchi wa Mkoa huo wanaishukuru kampuni hiyo kwa namna ilivyoguswa katika mapambano dhidi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid-19.
"Kama...
5 years ago
Michuzi
Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation yakabidhi vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 300 kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ili kupambana na ugonjwa wa Covid-19

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania