Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cheka apata mbabe kutoka Russia

Hatimaye aliyekuwa bingwa wa dunia wa WBF, Francis ‘SMG’ Cheka amepata mpinzani Valery Brudov wa Russia kuwania ubingwa wa WBF wa kimataifa (WBF-International).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

‘Cheka atapigwa tu Russia’

>Kocha wa bondia Francis ‘SMG’ Cheka, Abdallah ‘Comando’ Salehe amemtaka bondia wake huyo akubali kupambana na Fedor Chudino wa Russia  kwenye pambano lao la Jumamosi, lakini atapigwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Freeman Mbowe apata ‘mbabe’ mwenzake

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora, Kansa Mbarouk amejitokeza ‘kupimana kifua’ na Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Freeman Mbowe katika uchaguzi wa ndani unaotarajiwa kufanyika Septemba 14.

 

9 years ago

TheCitizen

Cheka stripped of title after poor show in Russia

Tanzania’s boxing sensation Cosmas Cheka has been stripped of his Asia Pacific featherweight belt after faltering in Moscow, Russia.

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na wawekezaji kutoka Russia

2015-01-21 00-46

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na ujumbe wa Kampuni kutoka Russia ya Mantra Tanzania Limited inayokusudia kuwekeza katika Mradi Uranium wa Mto Mkuju, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Januari 21, 2014. Kushoto ni Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary Nagu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). 2015-01-20 23-51-05 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary Nagu  (kulia)  akiteta na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Bibi...

 

10 years ago

Vijimambo

21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza


BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...

 

10 years ago

Michuzi

ANKAL APATA MGENI KUTOKA COLORADO, MAREKANI, LEO

Ankal akiwa na mgeni wake Frida Kileo kutoka Colorado, Marekani, aliyetembelea makao makuu ya Libeneke jijini Dar es salaam leo na kujionea shughuli za hapo pamoja na maandalizi ya sherehe za Miaka 10 ya Michuzi Blog mwezi Septemba. Yeye ni mmoja wa wadau wakubwa wa Globu ya Jamii walioko ughaibuni.
Ankal akipata selfie na mgeni wake

 

10 years ago

GPL

MPENZI WA D’BANJ APATA SHAVU KUTOKA KWA RAIS

Staa wa Afro Pop, Nigeria, D’Banj’. LAGOS, Nigeria Mpenzi wa staa wa Afro Pop, Nigeria, D’Banj’, Adama Indimi hivi karibuni amepata mwaliko wa kukutana na rais wa nchi hiyo, Muhammadu Buhari. Kufuatia mwaliko huo wa Adama aliouanika kwenye ukurasa wake wa Instagram, D’Banj hakuwa na mengi ya kuandika zaidi ya maneno matamu ya kumtakia mkutano mwema.Hata hivyo, wawili hao mara kwa mara wamekuwa...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt MUSA MDEDE apata Baraka za kuwa mbunge wa jimbo la kalenga kutoka kwa vijana wa kikatoliki wa jimbo hilo

 Dkt  MUSA LEONARDMDEDE akitoa neno katika kongamano la vijana wa Katoliki Vijana kikatoliki lililofanyika katika kijiji cha Ulete mkoani Iringa.Sehemu  ya vijana wakimsikiza mdede katika kongamano hilo. Baadhi ya viongozi wa vijana hao wakiwa makini kumsikiliza  Dkt. Mdede. Kwa habari kamili na picha zaidi.
BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani