Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ANKAL APATA MGENI KUTOKA COLORADO, MAREKANI, LEO

Ankal akiwa na mgeni wake Frida Kileo kutoka Colorado, Marekani, aliyetembelea makao makuu ya Libeneke jijini Dar es salaam leo na kujionea shughuli za hapo pamoja na maandalizi ya sherehe za Miaka 10 ya Michuzi Blog mwezi Septemba. Yeye ni mmoja wa wadau wakubwa wa Globu ya Jamii walioko ughaibuni.
Ankal akipata selfie na mgeni wake

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAWEKEZAJI KUTOKA NCHINI MAREKANI WATEMBEELEA WIZARA YA UCHUKUZI NA BANDARI YA DAR ES SALAAM LEO

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya kufua umeme ya TANASI, William Crawford (mwenye tai ya blue), akimtambulisha mjukuu kwake Colin Machamsoc kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka, mara baada ya kuwasilia Wizarani hapo walipotembelea Leo Asubuhi kutaka kufahamu fursa zilizo za uwekezaji katika Wizara ya Uchukuzi. Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, akisisitiza jambo kwa kundi la wawekezaji kutoka nchini Marekani waliotembelea Wizara hiyo leo asubuhi, kutaka...

 

5 years ago

Michuzi

MGENI, MGENII MGENI HUYU MGENI, ANAUA WAZEE, VIJANA MPAKA WATOTO

Charles James, Michuzi TVMWANZONI mwa miaka ya 2000 Lejendi wa Muziki, Marehemu Kapteni John Komba na Bendi yake ya TOT waliingia 'booth' kurekodi ngoma waliyoipa jina la Mgeni.
Mgeni ulikua ni wimbo ambao ulimuelezea mgeni (Ukimwi) ambaye alikua ameingia kwa kasi nchini huku akiua watu kwa fujo. Wazee, Vijana hadi Watoto walikua wahanga wa mgeni huyu. 
Sogea hapa; Mwishoni mwa mwaka jana, Desemba 31, 2019 watu walikesha wakifurahia kuuaga mwaka huo na kuukaribisha mwaka mpya wa 2020.
Watu...

 

10 years ago

Michuzi

KUTOKA MAKTABA: ANKAL NA WANAHABARI NGULI NCHINI

Ankal akiwa na sehemu ya wanahabari nguli nchini katika hafla ya michezo ya wanahabari katika viwanja wa Leaders Club jijini Dar es salaam. Kutoka kushoto ni Haji Sunday Manara, Angetile Osiah, Samson Mfalila, Ankal, Aboubakar Liongo, Edo Kumwembe na Rashidi Kejo

 

11 years ago

Michuzi

KUTOKA MAKTABA: ANKAL, LIONGO, NGAHYOMA NA RAZA

Mwaka 1997: Ankal (enzi hizo akiwa Daily News) na wenzie Aboubakar Liongo (enzi hizo akiwa RTD) Marehemu John Ngahyoma (akiwa The Express) na Mhe. Mohamed Raza, enzi hizo akiwa mfadhili wa michezo, alipowakaribisha nyumbani kwake mjini Zanzibar.

 

10 years ago

Michuzi

Kutoka maktaba: Ankal akiwa loliondo mwaka 1990

Hapa ni Loliondo Guest House kijijini Loliondo alimofikia Ankal wakati akifuatilia sakata la Loliondogate mwaka 1990.

 

10 years ago

Michuzi

MTOTO MWENYE KIPAJI CHA AJABU KUTOKA MAREKANI ATUA NCHINI LEO, KUFANYA KONGAMANO LA WATOTO NA WAZAZI KESHO JIJINI DAR ES SALAAM

Na Mwandishi Wetu
MTOTO  mwenye kipawa cha ajabu katika kutoa ushauri  wa kujijengea uwezo wa kujiamini  anayezidi kujipatia umaarufu mkubwa duniani,  Lonnie Hudson  maarufu kama ‘King Nahh’(Pichani), ametua  jijini Dar es Salaam , leo.
King Nahh aliambatana na baba yake mzazi , Nyeeam Hudson  ambapo wapo nchini kwa mwaliko wa  taasisi isiyo ya kiserikali ya Wisdom Partners.
Kesho mtoto huyo atafanya  kongamano kubwa  la watoto na wazazi  katika Ukumbi wa Urafiki ambapo nia na madhumuni ni...

 

11 years ago

Mwananchi

JK aenda kuchunguzwa afya Marekani, mkewe apata tuzo

Rais Jakaya Kikwete, ameondoka nchini kwenda Marekani kufanyiwa uchunguzi wa afya yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani