CHEKA NA KITIME: NAANZISHA BODABODA DRIVING ACADEMY
![](http://api.ning.com:80/files/saEvSFZMI0ni-Sh-CGDAKd0D45GRIeyMskpLczO2KOhAuxjO001Myy9GYzyBNLZmEoOjyh0NRqDOYufa891tkl1gG3N5I0DR/kitime.jpg)
HII ishu ya kukamata fursa imenifanya nikeshe siku tatu mfululizo nikiwaza, niikamatie wapi hiyo fursa? Hatimae usiku wa kuamkia leo kitu kama saa tisa na nusu hivi, picha ya wazi ikaja ya nini nifanye. Hapa nipo namalizia kuandika mambo ambayo nitayafanya ili niishi vizuri hapa mjini. Hii ni siri nawaambia nyinyi tu ndugu zangu, nimeamua kuanzisha chuo kitakachoitwa International Bodaboda Driving Academy, kifupi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfg9A2V3CPmah*vw4DTmMldfCx9lwx84w5Q8Ydt-oQ0nvDCVKQfGaARA1BeerJbF1iH31foXeYU4Fp7bmhHkdqeQ/CHEKANAKITIME.jpg?width=650)
CHEKA NA KITIME: NIMEUZIWA MCHICHA FEKI
10 years ago
Michuzi05 Nov
CHEKA NA KITIME;MIE TENA MICHANGO YA HARUSI, HAPANA!
![](http://api.ning.com/files/yhCsS*vRHKiJzJamMipvW40Q0t-uBCf3WqClm8JU-U0g437q2mGQR4Cmoy5sAJct-WvjcxB7Dqk0WXUxHU6kyKE2bfpU*N8D/CHEKANAKITIME.jpg)
“Ndugu rafiki na jamaa wa familia ya Pingapinga inakukumbusha kuwa harusi ya mtoto wao imekaribia hivyo mchango wako unahitajika”, baada ya wiki meseji huwa kali zaidi;“Siku...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/7zqEL_P_B4U/default.jpg)
21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza
BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...
10 years ago
MichuziJAMBO LEO YAICHABANGA BODABODA FC TAMASHA LA BODABODA UKONGA
9 years ago
TheCitizen14 Oct
Nyerere’s role in driving changes
9 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/490E/production/_85220781_doumbia.jpg)
Doumbia guilty of driving offences
11 years ago
TheCitizen12 Jun
GM may be driving past ignition crisis
9 years ago
TheCitizen09 Nov
When driving brings both fear and freedom
11 years ago
TheCitizen08 Jun
Drink driving: How much will your next round cost you?