Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHEKA NA KITIME: NIMEUZIWA MCHICHA FEKI

BAADA ya kuhangaika muda mreeefu kutafuta njia ya kuingia studio kurekodi nyimbo zake, hatimae jamaa yangu (jina nalihifadhi), akakutana na jamaa wakamwambia wanamfahamu mtu mwenye studio. Ndugu yangu akasindikizana na rafiki zake mpaka studio, akawakuta vijana wenzie nje ya lile jengo, wengine akawafahamu, wasanii maarufu ambao aliwahi kuwaona tu kwenye TV na magazeti, hapo akajua lazima naye sasa atakuwa mmoja wa wasanii...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

POLISI WAKAMATA KONYAGI FEKI VINGUNGUTI KARIBU NA MCHICHA

Baadhi ya vibarua waliokodiwa kwa ajili ya kupakia Konyagi ili wapeleke kituo cha polisi Buguruni wakifanya kazi ya kujaza katikaq marobota ili waweke katika gari baada ya konyagi hiyo feki kukamatwa Dar es salaam jana kwenye moja ya Godawn maeneo ya vingunguti karibu na kituo cha mchicha watumiwa walikamatwa na kupelekwa polisiBaadhi ya watuhumiwa wa Konyagi feki wakifanya kazi ya kupakia kwenye mabox konyagi hizo ambapo walikamatwa na jeshi la polisi na kufikishwa kituo cha polisi...

 

11 years ago

GPL

CHEKA NA KITIME: NAANZISHA BODABODA DRIVING ACADEMY

HII ishu ya kukamata fursa imenifanya nikeshe siku tatu mfululizo nikiwaza, niikamatie wapi hiyo fursa?  Hatimae usiku wa kuamkia leo kitu kama saa tisa na nusu hivi,  picha ya wazi ikaja ya nini nifanye. Hapa nipo namalizia kuandika mambo ambayo nitayafanya ili niishi vizuri hapa mjini. Hii ni siri nawaambia nyinyi tu ndugu zangu, nimeamua kuanzisha chuo kitakachoitwa  International Bodaboda Driving Academy, kifupi...

 

11 years ago

Michuzi

CHEKA NA KITIME;MIE TENA MICHANGO YA HARUSI, HAPANA!

BAADA ya matukio ya harusi ya Jumamosi iliyopita natoa onyo ole wake atakayeniomba mchango wa harusi, sitaki utani. Labda kwanza nikueleze jinsi tulivyopata misukosuko sana kwenye uchangiaji wa ile harusi, maana siku hizi hakuna pa kukimbilia, kila asubuhi unaamshwa saa kumi na mbili na meseji kwenye simu;
“Ndugu rafiki na jamaa wa familia ya Pingapinga inakukumbusha kuwa harusi ya mtoto wao imekaribia hivyo mchango wako unahitajika”, baada ya wiki  meseji huwa kali zaidi;“Siku...

 

10 years ago

Vijimambo

21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza


BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...

 

10 years ago

GPL

MWANA HERI KULA MCHICHA KWA FURAHA KULIKO BATA KWA KARAHA!

Niaje…niaje watu wa Mungu? Tupo vizuri…si ndiyo eeh. Basi sawa kozi kona hii ni mzuksi kinomanoma. Ama nene? Basi ni mpango mzima wana. Hapa ni mwendo wa kusanuka na kama vipi ukiona spidi ni kubwa unaruhusiwa kuomba poo. Usijidai kukomaa utapasuka bure. Huu mziki mnene wazazi. Tudei bana ngoja tupige mastori moo ya masela wa tauni. Najua samu pipo tena makachaa wangu kabisa dizaini kama watanimaindi bati kama mbwai...

 

10 years ago

Mtanzania

Kitime akosoa muziki wa Christian Bella

KitimeNA GEORGE KAYALA
MKONGWE wa muziki wa dansi nchini, John Kitime, ameukosoa muziki wa mwanamuziki mwenzake, Christian Bella, kwa madai kwamba una mapungufu mengi ya kiufundi.
Kitime alitoa hayo mwishoni mwa wiki, alipotembelea ofisi za Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, iliyopo Sinza Kijiweni, inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Bingwa, Dimba, The African na Rai.
Kitime alisema mwanamuziki huyo ana sauti nzuri ya uimbaji, ila muziki wake umekosa vionjo, ndiyo maana unakosa uhai wa muda mrefu...

 

10 years ago

GPL

MKE WA KITIME AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI DAR

Muonekano wa kaburi la marehemu Janeth Joan Kitime baada ya kuzikwa siku ya leo katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar. Mwanamuziki mkongwe, John Kitime akiweka maua katika kaburi la mke wake.…

 

11 years ago

Michuzi

libeneke la anko john kitime lakata mbuga

HAHAHAHAHAHAAAA.... MPAKA SASA WALIOINGIA <www.chekanakitime.blogspot.com>  NA KUCHEKA WAMEKWISHA FIKA MILIONI MOJA!!!!  JE WEWE ULIKUWA MMOJA WAO???  KAMA BADO UNAKOSA UHONDO. tangazo hili kwa hisani ya mjomba  wangu (Kitime) wa Tosamaganga

 

10 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani