Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHEKA NA KITIME;MIE TENA MICHANGO YA HARUSI, HAPANA!

BAADA ya matukio ya harusi ya Jumamosi iliyopita natoa onyo ole wake atakayeniomba mchango wa harusi, sitaki utani. Labda kwanza nikueleze jinsi tulivyopata misukosuko sana kwenye uchangiaji wa ile harusi, maana siku hizi hakuna pa kukimbilia, kila asubuhi unaamshwa saa kumi na mbili na meseji kwenye simu;
“Ndugu rafiki na jamaa wa familia ya Pingapinga inakukumbusha kuwa harusi ya mtoto wao imekaribia hivyo mchango wako unahitajika”, baada ya wiki  meseji huwa kali zaidi;“Siku...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MIE TENA MICHANGO YA HARUSI, HAPANA!

BAADA ya matukio ya harusi ya Jumamosi iliyopita natoa onyo ole wake atakayeniomba mchango wa harusi, sitaki utani. Labda kwanza nikueleze jinsi tulivyopata misukosuko sana kwenye uchangiaji wa ile harusi, maana siku hizi hakuna pa kukimbilia, kila asubuhi unaamshwa saa kumi na mbili na meseji kwenye simu; “Ndugu rafiki na jamaa wa familia ya Pingapinga inakukumbusha kuwa harusi ya mtoto wao imekaribia hivyo mchango wako...

 

11 years ago

GPL

CHEKA NA KITIME: NIMEUZIWA MCHICHA FEKI

BAADA ya kuhangaika muda mreeefu kutafuta njia ya kuingia studio kurekodi nyimbo zake, hatimae jamaa yangu (jina nalihifadhi), akakutana na jamaa wakamwambia wanamfahamu mtu mwenye studio. Ndugu yangu akasindikizana na rafiki zake mpaka studio, akawakuta vijana wenzie nje ya lile jengo, wengine akawafahamu, wasanii maarufu ambao aliwahi kuwaona tu kwenye TV na magazeti, hapo akajua lazima naye sasa atakuwa mmoja wa wasanii...

 

11 years ago

GPL

CHEKA NA KITIME: NAANZISHA BODABODA DRIVING ACADEMY

HII ishu ya kukamata fursa imenifanya nikeshe siku tatu mfululizo nikiwaza, niikamatie wapi hiyo fursa?  Hatimae usiku wa kuamkia leo kitu kama saa tisa na nusu hivi,  picha ya wazi ikaja ya nini nifanye. Hapa nipo namalizia kuandika mambo ambayo nitayafanya ili niishi vizuri hapa mjini. Hii ni siri nawaambia nyinyi tu ndugu zangu, nimeamua kuanzisha chuo kitakachoitwa  International Bodaboda Driving Academy, kifupi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Baba anapoingia mitini na michango ya harusi ya kijana wake!

KATIKA hali ya kawaida wazazi wa kijana au binti anayetarajia kuoa au kuolewa wao ndio wanaokuwa mstari wa mbele wa kuhakikisha mtoto wao anafanikiwa vema katika maandalizi ya harusi mtoto...

 

10 years ago

Vijimambo

21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza


BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...

 

9 years ago

MillardAyo

Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video)

Ndugu jamaa na marafiki walijikuta wakiendelea na ratiba ya mazishi kwa mtindo wa sherehe baada ya bwana harusi kufariki… bibi harusi nae ilibidi akubaliane na ukweli kwamba ndoa yao imekatishwa na kifo cha mume mtarajiwa. Kifo cha bwana harusi John Mwangi kilitokana na ajali baada ya gari kutumbukia mtoni maeneo ya Kabarnet, Kaunti ya Baringo Kenya… […]

The post Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video) appeared first on...

 

5 years ago

BBCSwahili

Bwana harusi afukuzwa kutoka kwa harusi yake.

Bwana harusi alifukuzwa katika harusi yake mwenyewe na umati wa watu waliokasirika baada ya mkewe wa kwanza kufika na kumjulisha mke mpya kuwa mumewe alikua tayari ameoa

 

10 years ago

BBCSwahili

Bwana harusi aanguka kifafa kabla ya harusi

Mume aanguka kifafa sekunde chache kabla ya ndoa yake,bi harusi achukizwa na kitendo cha kufichwa hali hiyo, aamua kuolewa na ndugu wa mumewe.

 

10 years ago

BBCSwahili

Bi harusi apewa talaka siku ya harusi

Bwana harusi mmoja kutoka Saudi Arabia amempa talaka mkewe siku ya harusi baada ya kumuona uso wake kwa mara ya kwanza

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani