cheka unenepe...
![](http://3.bp.blogspot.com/-ra5i-k6q4JE/UvZy9S7mOtI/AAAAAAAFLzk/BsCwkNQwAgw/s72-c/81c1f4194740b3ea538ff14ddabd4653.jpg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/7zqEL_P_B4U/default.jpg)
21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza
BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sjQ7lRKeVr5A3tCK4pDlkTIfU2FBzq*PZZ5QsMFoZiOR5CVD010BySk5UmTokaYAOmPqNPsSBifIUt-z0x1CTt5PUzwesZyu/5copy.jpg?width=650)
CHEKA ALIVYOHENYESHWA MAHAKAMANI
Stori: Dustan Shekidele/Risasi Mchanganyiko BONDIA bingwa wa dunia wa WBF uzani wa Kati, Francis Cheka ambaye juzi alihukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa la kumpiga mtu ngumi, alihenyeshwa kiasi cha kutosha kabla ya kupandishwa kwenye karandinga la Magereza lililompeleka kuanza maisha mapya katika gereza la Manispaa ya mkoa.
Awali, baada ya hukumu hiyo, Cheka alipelekwa katika chumba ambacho mahabusu hukaa...
11 years ago
Mwananchi02 Jan
Cheka apoteza matumaini
>Bondia Francis ‘SMG’ Cheka amesema hana matumaini ya kuurejesha ubingwa wa Dunia wa WBF aliovuliwa hivi karibuni huku akisisitiza taji hilo ndilo basi tena kurudi Tanzania.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FqkiRUfegCgYt3WP*Y1Fieh26zlBa4HOBMpflr0BUr4d8EhKk35JIH08*WhPYJ5IgG6Il5v3SQFXa9muF4NSSVTfR7KpIELu/CHEKA.jpg)
CHEKA AKIMBIA SHULE
Bondia Francis Cheka akitoka shule. BONDIA Francis Cheka anadaiwa kukacha masomo katika Shule ya St. Joseph mjini Morogoro alipokuwa anasomeshwa kwa madai ya ugumu wa maisha. Cheka alikuwa anasoma kidato cha kwanza katika shule hiyo ikiwa ni ofa baada ya kumtwanga Mmarekani Phill Williams. Mmoja wa walimu wa shule hiyo, James Mkisi amedai Cheka alihudhuria masomo shuleni hapo mara mbili tu! Cheka amesema kuwa majukumu ya familia...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
Cheka amtamani Chudnov
PROMOTA maarufu wa masumbwi ya kulipwa nchini, Ally Mwazoa ameanza mipango ya kuwapiganisha bondia Francis Cheka ‘SMG’ dhidi ya Fedor Chudinov wa Urusi. Akizungumza na Tanzania Daima jana, promota huyo...
11 years ago
Mwananchi18 Dec
‘Cheka atapigwa tu Russia’
>Kocha wa bondia Francis ‘SMG’ Cheka, Abdallah ‘Comando’ Salehe amemtaka bondia wake huyo akubali kupambana na Fedor Chudino wa Russia kwenye pambano lao la Jumamosi, lakini atapigwa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania