Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cheka amtamani Chudnov

PROMOTA maarufu wa masumbwi ya kulipwa nchini, Ally Mwazoa ameanza mipango ya kuwapiganisha bondia Francis Cheka ‘SMG’ dhidi ya Fedor Chudinov wa Urusi. Akizungumza na Tanzania Daima jana, promota huyo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ROSE MUHANDO AMTAMANI GWAJIMA

Stori: Shani Ramadhan na Gabriel Ngosha NYOTA wa nyimbo za Injili nchini, Rose Muhando amesema anatamani sana kuhamia kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mchungaji Josephat Gwajima kutokana na mahubiri yake mazuri. Nyota wa nyimbo za Injili nchini, Rose Muhando. “Natamani nihamie katika kanisa la Mchungaji Gwajima lakini mimi huwa napenda kumuita Askofu kwa sababu ya upako alionao, naomba ikiwezekana na mimi...

 

10 years ago

Vijimambo

21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza


BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...

 

10 years ago

Mtanzania

Mo Music amtamani KCEE katika wimbo wake mpya

Mo-musicNA AGNES MHAGAMA

BAADA ya wasanii mbalimbali wa muziki wa Bongo Fleva kufanya vizuri kimataifa kupitia ushirikiano na wasanii wa kimataifa, msanii anayefanya vizuri katika wa muziki huo, Moshi Katemi ‘Mo Music’ naye ana matarajio ya kushirikiana na msanii kutoka Nigeria, KCEE.

Mo Music, anayetamba na wimbo wa ‘Basi Nenda’ na ‘Ntazoea’, alisema ameshafanya mawasiliano na msanii huyo na mipango ikienda kama walivyopanga watakamilisha wimbo huo ndani ya mwaka huu.

“Nimemchagua KCEE kwa sababu...

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

CHEKA ALIVYOHENYESHWA MAHAKAMANI

Stori: Dustan  Shekidele/Risasi Mchanganyiko BONDIA bingwa wa dunia wa WBF uzani wa Kati, Francis Cheka ambaye juzi alihukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa la kumpiga mtu ngumi, alihenyeshwa kiasi cha kutosha kabla ya kupandishwa kwenye karandinga la Magereza lililompeleka kuanza maisha mapya katika gereza la Manispaa ya mkoa.
Awali, baada ya hukumu hiyo, Cheka alipelekwa katika chumba ambacho mahabusu hukaa...

 

11 years ago

Mwananchi

Cheka apoteza matumaini

>Bondia Francis ‘SMG’ Cheka amesema hana matumaini ya kuurejesha ubingwa wa Dunia wa WBF aliovuliwa hivi karibuni huku akisisitiza taji hilo ndilo basi tena kurudi Tanzania.

 

11 years ago

GPL

CHEKA AKIMBIA SHULE

Bondia Francis Cheka akitoka shule. BONDIA Francis Cheka anadaiwa kukacha masomo katika Shule ya St. Joseph mjini Morogoro alipokuwa anasomeshwa kwa madai ya ugumu wa maisha. Cheka alikuwa anasoma kidato cha kwanza katika shule hiyo ikiwa ni ofa baada ya kumtwanga Mmarekani Phill Williams. Mmoja wa walimu wa shule hiyo, James Mkisi amedai Cheka alihudhuria masomo shuleni hapo mara mbili tu! Cheka amesema kuwa majukumu ya familia...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Cheka atapigwa tu Russia’

>Kocha wa bondia Francis ‘SMG’ Cheka, Abdallah ‘Comando’ Salehe amemtaka bondia wake huyo akubali kupambana na Fedor Chudino wa Russia  kwenye pambano lao la Jumamosi, lakini atapigwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani