Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHEKA ALIVYOHENYESHWA MAHAKAMANI

Stori: Dustan  Shekidele/Risasi Mchanganyiko BONDIA bingwa wa dunia wa WBF uzani wa Kati, Francis Cheka ambaye juzi alihukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa la kumpiga mtu ngumi, alihenyeshwa kiasi cha kutosha kabla ya kupandishwa kwenye karandinga la Magereza lililompeleka kuanza maisha mapya katika gereza la Manispaa ya mkoa.
Awali, baada ya hukumu hiyo, Cheka alipelekwa katika chumba ambacho mahabusu hukaa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Dk Mwakyembe alivyohenyeshwa na wabunge

 Hitimisho la makadirio ya matumizi ya Wizara ya Uchukuzi, juzi lilizua sintofahamu bungeni, baada ya wabunge kupishana kauli na kurushiana vijembe, huku Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akiwekwa kikaangoni kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu wizara yake.

 

10 years ago

Vijimambo

21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza


BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Mwananchi

‘Cheka atapigwa tu Russia’

>Kocha wa bondia Francis ‘SMG’ Cheka, Abdallah ‘Comando’ Salehe amemtaka bondia wake huyo akubali kupambana na Fedor Chudino wa Russia  kwenye pambano lao la Jumamosi, lakini atapigwa.

 

11 years ago

GPL

CHEKA AKIMBIA SHULE

Bondia Francis Cheka akitoka shule. BONDIA Francis Cheka anadaiwa kukacha masomo katika Shule ya St. Joseph mjini Morogoro alipokuwa anasomeshwa kwa madai ya ugumu wa maisha. Cheka alikuwa anasoma kidato cha kwanza katika shule hiyo ikiwa ni ofa baada ya kumtwanga Mmarekani Phill Williams. Mmoja wa walimu wa shule hiyo, James Mkisi amedai Cheka alihudhuria masomo shuleni hapo mara mbili tu! Cheka amesema kuwa majukumu ya familia...

 

11 years ago

Mwananchi

Cheka apoteza matumaini

>Bondia Francis ‘SMG’ Cheka amesema hana matumaini ya kuurejesha ubingwa wa Dunia wa WBF aliovuliwa hivi karibuni huku akisisitiza taji hilo ndilo basi tena kurudi Tanzania.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Cheka amtamani Chudnov

PROMOTA maarufu wa masumbwi ya kulipwa nchini, Ally Mwazoa ameanza mipango ya kuwapiganisha bondia Francis Cheka ‘SMG’ dhidi ya Fedor Chudinov wa Urusi. Akizungumza na Tanzania Daima jana, promota huyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani