Dk Mwakyembe alivyohenyeshwa na wabunge
 Hitimisho la makadirio ya matumizi ya Wizara ya Uchukuzi, juzi lilizua sintofahamu bungeni, baada ya wabunge kupishana kauli na kurushiana vijembe, huku Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akiwekwa kikaangoni kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu wizara yake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo30 May
Upatikanaji wabunge wa Afrika Mashariki ubadilishwe-Mwakyembe
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Harrison Mwakyembe, amependekeza mfumo wa kupata wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania, ubadilishwe.
10 years ago
GPL
CHEKA ALIVYOHENYESHWA MAHAKAMANI
Stori: Dustan Shekidele/Risasi Mchanganyiko BONDIA bingwa wa dunia wa WBF uzani wa Kati, Francis Cheka ambaye juzi alihukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa la kumpiga mtu ngumi, alihenyeshwa kiasi cha kutosha kabla ya kupandishwa kwenye karandinga la Magereza lililompeleka kuanza maisha mapya katika gereza la Manispaa ya mkoa.
Awali, baada ya hukumu hiyo, Cheka alipelekwa katika chumba ambacho mahabusu hukaa...
11 years ago
GPLYANGA (WABUNGE) WALIVYOISAMBARATISHA SIMBA (WABUNGE) KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI 2014
Mbunge wa Jimbo la Chalinze ambaye ni shabiki wa Yanga, Ridhiwan Kikwete akivua jezi yake kwa ajili ya mashabiki mara baada ya ushindi wa timu yake wa mabao 3-2 dhidi ya Simba leo. Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akishangilia na shabiki wake baada ya ushindi wa…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
11-May-2025 in Tanzania