Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHEKA AKIMBIA SHULE

Bondia Francis Cheka akitoka shule. BONDIA Francis Cheka anadaiwa kukacha masomo katika Shule ya St. Joseph mjini Morogoro alipokuwa anasomeshwa kwa madai ya ugumu wa maisha. Cheka alikuwa anasoma kidato cha kwanza katika shule hiyo ikiwa ni ofa baada ya kumtwanga Mmarekani Phill Williams. Mmoja wa walimu wa shule hiyo, James Mkisi amedai Cheka alihudhuria masomo shuleni hapo mara mbili tu! Cheka amesema kuwa majukumu ya familia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza


BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Kamwaga akimbia ofisi za Simba

Fukuto la uchaguzi linaloendelea ndani ya klabu ya Simba limemfanya Katibu Mkuu wa klabu hiyo, Ezekiel Kamwaga kuiona ofisi yake chungu kama shubiri. Kamwaga hajaingia ofisini kwa muda wa wiki moja sasa.

 

9 years ago

Mtanzania

Mkandarasi akimbia ujenzi wa mtaro

SAM_3627TUNU NASSOR NA ALLEN MSAPI, DAR ES SALAAM

MKANDARASI aliyepewa zabuni ya ujenzi wa mtaro wa maji uliosababisha mafuriko katika eneo la Buguruni kwa Mnyamani Machi, mwaka huu, ameutelekeza.

Mtaro huo ambao ulisababisha watu kuishi katika mazingira magumu, baada ya kuziba na maji kuingia kwenye makazi yao, ulimfanya Rais Jakaya Kikwete kufika eneo hilo na kutaka baadhi ya nyumba zivunjwe.

Akizungumza na MTANZANIA, Msemaji wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu, alisema mkandarasi huyo ambaye...

 

10 years ago

GPL

SANDRA AKIMBIA UKATA BONGO MUVI!

Brighton Masalu MUIGIZAJI aliyekuza jina kupitia Filamu ya Misukosuko, Salama Salimin ‘Sandra’ amesema sababu iliyomfanya kukaa kimya kwenye uigizaji ni malipo na kipato kidogo hivyo kuamua kutafuta riziki kwa njia nyingine (hakuzitaja). ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1HWVAxk

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwandishi akimbia makazi kwa hofu

MWANDISHI wa habari  za Haki za Binadamu na Jarida la Kiingereza la ‘Africa Tomorrow’, Christopher Kidanka, amelazimika kukimbia makazi na familia yake baada ya kuwepo  watu wanaotishia maisha yake. Hali...

 

9 years ago

GPL

KISA VICOBA, MKE AKIMBIA NDOA!

MAKUBWA! Mke aliyetajwa kwa jina la Hawa Mussa (20), mkazi wa Yombo - Buza, Dar amelalamikiwa na mumewe Abdul Aziz, kwamba amekimbia kwenye ndoa yao baada ya kumfokea kwa kosa la kuchelewa kurudi kutoka kwenye Vicoba.  Hawa Mussa na mumewe siku ya harusi yao. Akizungumza na mwandishi wetu juzikati jijini Dar, mume huyo alisema mkewe aliondoka nyumbani baada ya kumuonya kutokana na mwenendo wake kubadilika sanjari na kuwa na...

 

10 years ago

Habarileo

Mtoto akimbia kwao viboko, mijeledi

MTOTO mmoja mkazi wa wilayani Bunda mkoani Mara, amelazimika kukimbia kwao na kwenda kwenye nyumba ya mtu mwingine katika mtaa mwingine, kukwepa viboko.

 

9 years ago

GPL

NJEMBA ALA KIPIGO, MKE AKIMBIA

Richard Bukos Hii kali! Njemba mmoja ambaye jina halikupatikana amekula kipigo mbele ya mkewe ambaye alifanikiwa kukimbia baada ya kudaiwa kufanya jaribio la kuingia kwenye onesho la Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ kwa kutumia tiketi feki, Ijumaa lina kisa na mkasa.  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1PWCUDc

 

11 years ago

GPL

AFUMWA NA MCHUMBA'KE, AKIMBIA, AGONGWA, AFA

Na Dustan Shekidele, Morogoro
DUNIA ina mambo! Fundi wa magari mkoani Morogoro, Julius Mavella maarufu kama Papa Mavella, Machi 5 mwaka huu, majira ya saa saba usiku, alifariki dunia baada ya pikipiki aliyokuwa akiendesha, kugongana na nyingine, wakati akimkimbia mchumba’ke baada ya kuwa amefumwa akijirusha katika Klabu ya Itigi, iliyopo Msamvu inayodaiwa kutumiwa na machangudoa. Julius Mavella (kulia) akisakata muziki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani