Mkandarasi akimbia ujenzi wa mtaro
TUNU NASSOR NA ALLEN MSAPI, DAR ES SALAAM
MKANDARASI aliyepewa zabuni ya ujenzi wa mtaro wa maji uliosababisha mafuriko katika eneo la Buguruni kwa Mnyamani Machi, mwaka huu, ameutelekeza.
Mtaro huo ambao ulisababisha watu kuishi katika mazingira magumu, baada ya kuziba na maji kuingia kwenye makazi yao, ulimfanya Rais Jakaya Kikwete kufika eneo hilo na kutaka baadhi ya nyumba zivunjwe.
Akizungumza na MTANZANIA, Msemaji wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu, alisema mkandarasi huyo ambaye...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Mkandarasi atelekeza ujenzi wa soko la Gezaulole
MKANDARASI, Serico Company Ltd anadaiwa kutoweka na kutelekeza ujenzi wa Soko la Gezaulole, Kata ya Kauzani, Manispaa ya Morogoro linalotarajiwa kugharimu sh milioni 12 hadi kukamilika. Hayo yamebainika kwenye ziara...
10 years ago
Habarileo20 Aug
Mkurugenzi, mkandarasi K’ndoni wabanwa ujenzi wa barabara
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ametoa wiki mbili kwa Mkurugenzi na Mkandarasi wa Manispaa hiyo kumpa ripoti ya ukiukwaji wa mikataba ya ujenzi wa barabara za manispaa hiyo kwa kiwango cha lami.
5 years ago
MichuziMkandarasi atii agizo la Rais, aanza ujenzi wa barabara Kigamboni
China Railway Construction Engineering Group (CRCEG) jana ilianza kazi ya kutengeneza kipande cha barabara hiyo, ikiwa ni siku chache baada ya Rais Magufuli kutoa agizo la kumaliza mgogoro wa kikandarasu na kukamilishaa mradi huo.Akizugumza wakati wa uzinduzi wa ofisi za Wilaya ya Kigamboni,. Rais...
5 years ago
Michuzi
MKANDARASI UJENZI WA MRADI WA MAJI MKURANGA ATAKIWA KUPUNGUZA GHARAMA
Waziri wa Maji Prof Makame Mbarawa amewaagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kukaa chini na mkandarasi anayejenga mradi wa maji Mkuranga kupunguza gharama za ujenzi
Hayo yamesemwa wakati wa ziara ya kutembelea miradi ya maji katika wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani. Katika ziara hiyo pia ameambatana na Mbunge wa Jimbo hilo Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega pamoja na wataalamu wa maji.
Mbarawa amesema, Dawasa wakae...
5 years ago
Michuzi
Dkt. Mwinuka amtaka Mkandarasi kuongeza kasi ujenzi Ofisi za TANESCO Geita

Dkt. Mwinuka amesema ujenzi wa majengo hayo ni sehemu ya jitihada za Shirika kuhakikisha linaendesha shughuli zake katika majengo yake na hivyo kuepukana na gharama kubwa za upangishaji majengo kwa matumizi za ofisi...
5 years ago
Michuzi
RC MAKONDA AMTAKA MKANDARASI UJENZI BARABARA YA MABASI MWENDOKASI MBAGALA KUONGEZA KASI
RC Makonda amesema kwa muda mrefu wakazi wa Mbagala walikuwa wakipata changamoto ya usafiri ikiwemo foleni na wakati mwingine wananchi kuibiwa simu na mikoba wakiwa wanagombania usafiri...
11 years ago
Michuzi.jpg)
MAGUFULI AKAGUA DARAJA LA NANGOO PAMOJA NA UJENZI WA BARABARA YA NDUNDU —SOMANGA, AMPA MKANDARASI MIEZI MIWILI KUIKAMILISHA
5 years ago
Michuzi
RC MAKONDA AMUELEKEZA MKANDARASI WA UJENZI WA STAND MPYA YA MABASI YA MBEZI LUIS KUKABIDHI MRADI KWA MUDA ULIOPANGWA.
RC Makonda amesema ujenzi wa Stand hiyo unagharimu kiasi cha shilingi bilioni 50.9 na itakuwa na uwezo wa kuegesha Mabasi Makubwa 700 na Magari Madogo yasiyopungua 300 ambapo ndani yake kutakuwa na Jengo la abiria, Jengo la utawala, Shopping...
5 years ago
Michuzi
SERIKALI YATATUA MGORORO ULIODUMU KWA MIAKA MINNE KATI YA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA UJENZI WA DARAJA LA MTO KILOMBERO PAMOJA NA MKANDARASI
Na Mwandishi Wetu
SERIKALI imetatua mgogoro wa wafanyakazi waliokuwa wanafanya kazi ya ujenzi katika daraja la Mto Kilombero kwenye kampuni ya kikandarasi ya China Railway 15 Group uliodumu kwa zaidi ya miaka minne na kuhakikisha haki inatendeka kwa kila mfanyakazi.
Mgogoro huo uliosimamiwa kikamilifu na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Arch. Elius Mwakalinga, pamoja na wataalamu kutoka sekta hiyo kwa muda wa siku tatu.
Mwakalinga, ameagiza uongozi wa kampuni hiyo...