Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHEKA UPASUKE NA KANSIIME LIVE JIJINI DAR ES SALAAAM


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Anne Kansiime kuwasili jijini Dar July 31

Mchekeshaji Anne Kansiime anatarajiwa kuwasili July 31 jijini Dar es Salaam tayari kwa burudani kali hapo August 2 kwenye ukumbi wa Golden Tulip. Mkali wa huyo wa kuchekesha na sanaa za majukwaani Afrika Mashariki, atawasili majira ya saa kumi jioni kwa ndege ya shirika la Rwanda. Anne anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari hapo Ijumaa […]

 

11 years ago

Dewji Blog

Anne Kansiime kuwasili leo jijini Dar

Anne-Kansiime-Uganda-comedy-2

Mchekeshaji Anne Kansiime (pichani) anatarajiwa kuwasili leo jijini Dar es Salaam tayari kwa burudani kali hapo August 2 kwenye ukumbi wa Golden Tulip.

Mkali wa huyo wa kuchekesha na sanaa za majukwaani Afrika Mashariki, atawasili majira ya saa kumi jioni kwa ndege ya shirika la Rwanda.

Anne anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari hapo Ijumaa saa tano kamili asubuhi kwenye ukumbi wa Sports Lounge uliopo Posta, na jumamosi atasalimiana na mashabiki katika viwanja vya Mlimani...

 

11 years ago

GPL

JK KATIKA SWALA YA IDDI DAR ES SALAAAM

Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wakiswali sala ya Iddi El Fitr katika masjid Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa…

 

11 years ago

Michuzi

JK katika Swala ya Iddi Dar es Salaaam

 Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wakiswali sala ya Iddi El Fitr katika masjid Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu muda mfupi baada ya kuswali sala ya Iddi El Fitr katika mshikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi. "...Eid Mubarak....Eid Mubarak..."Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mlemavu mara baada ya kumalizika kwa swala ya Iddi katika masjid Maamur Upanga...

 

11 years ago

GPL

DAR LIVE BONANZA LILIVYOTINGISHA MBAGALA JIJINI DAR

Meneja wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari (PSS) kutoka PSPF, Mwanjaa Sembe akikabidhi zawadi ya jezi kwa mwakilishi wa timu ya mpira wa miguu ya Wadau. Mjumbe wa UVCCM mkoa wa Dar es Salaam, Olivia Sanare akikabidhi zawadi ya jezi kwa niaba ya mgeni rasmi.…

 

10 years ago

GPL

LIVE KUTOKA DAR LIVE: BURUDANI ZA MWANZO KABLA YA SHOO YA MWANA DAR LIVE

Waimbaji wa Mashauzi Classic wakiwa stejini. Msanii wa Bongo Fleva, Aisha Amsha Popo akifanya vitu vyake katika steji ya Dar Live usiku huu.…

 

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA KOMAA CONCERT LILIVYOFANA NDANI YA KIOTA CHA MARAHA CHA DAR LIVE JIJINI DAR

 Uongozi pamoja na Wafanyakazi wa kituo cha radio ya EFM 93.7 kwa pamoja wakikata keki kusherehekea kutimiza mwaka mmoja wa kituo hicho ambacho kwa sasa kinakuja kwa kasi jijini Dar na kwingineko,hafla hiyo ilikwenda sambamba na kuadhimisha miaka 16 ya msanii Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Juma Nature,katika tamasha lililoitwa  KOMAA CONCERT,ambalo lilifanyika ndani ya kiota cha maraha cha Dar Live,Mbagala jijini Dar mwishoni mwa wiki na kuhudhuriwa na maelfu ya mashabiki na wapenzi wa...

 

11 years ago

Michuzi

Anne Kansiime kuburudisha Dar August 2.

 Mkali wa kuchekesha na sanaa za majukwaani Afrika Mashariki, Anne Kansiime anatarajiwa kutoa burudani kali hapo August 2, katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dar es Salaam.                      Tukio hilo linaloandaliwa na kituo cha Radio 5 litaambatana na burudani ya muziki kutoka ODAMA Band, pamoja na mchekeshaji Fredi Omondi kutoka Kenya na Pilipili wa Tanzania.
Akizungumzia tukio hilo Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Radio 5, Robert Francis alisema kuwa wameamua kumualika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani