cheki songombingo la bodaboda mjini hanoi, vietnam
Wingi wa pikipiki na baiskeli katika mji Mkuu wa Vietnam, Hanoi, ni balaa. Yeyote aliyewahi kutembelea mji huo mkongwe anakiri kwamba songombingo la pikipiki na baiskeli si la kawaida, hasa ikiwa unatembea kwa miguu. Takwimu rasmi zinasema kulikuwa na pikipiki milioni 4 mwaka 1996 katika Vietnam yote. Leo idadi hiyo ipo mjini Hanoi peke yake, ambapo inaaminika kuna jumla ya pikipiki milioni 39 nchi nzima, ikimaanisha kwamba, ukiondoa wazee sana, na watoto, karibu kila M-Vietnam ana...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi03 Nov
utitiri wa bodaboda jijini Hanoi, Vietnam, na nidhamu ya waendeshaji wake...
Kwa taswira zaidi za bodaboda jijini Hanoi, Vietnam, BOFYA HAPA
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-fluZbU-v65I/VE-pbL8Gq7I/AAAAAAAGt10/F4u0Z_9AhUQ/s72-c/ho1.jpg)
President Kikwete in Hanoi,Vietnam today
![](http://2.bp.blogspot.com/-fluZbU-v65I/VE-pbL8Gq7I/AAAAAAAGt10/F4u0Z_9AhUQ/s1600/ho1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-cTYIasI8zGI/VE-pbAQFzUI/AAAAAAAGt1s/79hsI5xpd44/s1600/ho2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-98qYTybjzCI/VE-pbDt_gOI/AAAAAAAGt1w/dKD2ONX7xIM/s1600/ho3.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-LsyUjJbknps/VE-pcNZCnWI/AAAAAAAGt18/CJjXKzVc2ko/s1600/ho4.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-aGa0Or7JK9M/VE-pcVaV51I/AAAAAAAGt2E/C7y0cJvmuDg/s1600/ho5.jpg)
11 years ago
GPLKAMATI YA BODABODA DAR YATOA TAMKO KUZUIWA KUINGIA MJINI
11 years ago
Michuzi24 May
11 years ago
Dewji Blog15 May
Kamata kamata bodaboda na bajaji mjini, Jiji lageuza biashara..!
Baadhi ya madereva wa pikipiki wanaozitumia kama vyombo vya usafiri binafsi kwenda na kurudi kazini wakihoji juu ya mkanganyiko huo katika ofisi za Jiji la Dar es Salaam, juzi. Hata hivyo hawakupata majibu zaidi ya kukuta tangazo lililositisha upokeaji wa tozo za kuingia mjini na vibali.
Tangazo lililobandikwa na Jiji kusitisha zoezi la ukusanyaji wa tozovibali vya kuingia mjini na pikipiki.
ZOEZI la kupiga marufuku bodaboda na bajaji zinazofanya biashara katikati ya Jiji la Dar es Salaam...
10 years ago
AllAfrica.Com03 Apr
Globe Turns Attention to SDGs As 132nd IPU Assembly Closes Curtains in Hanoi
IPPmedia
AllAfrica.com
Arusha, Tanzania — The curtain has closed on the 132nd Inter-Parliamentary Union Assembly and related meetings in Hanoi, the Socialist Republic of Vietnam with a sustained call on legislators to take more ownership on the implementation of Sustainable ...
IPU members commend Tanzania's ParliamentIPPmedia
IPU hails Parliament of Tanzania, UN relationsDaily News
all 5
11 years ago
Dewji Blog26 May
Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Jimbo la Singida Mjini haijawahi kutokea, waingia kwa staili ya aina yake wakitumia Bodaboda na Bajaji
Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), Naibu Waziri wa Fedha ambaye pia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Mh. Mwigulu Nchemba wakiwa kwenye boda boda, wakati wa msafara wa kuelekea kwenye mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika eneo la viwanja vya People’s Club mjini Singida.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana , sambamba na Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye,wakiwasili kwenye viwanja vya People’s Club kwenye mkutano wa hadhara kwa staili ya aina yake kwa...
10 years ago
MichuziJAMBO LEO YAICHABANGA BODABODA FC TAMASHA LA BODABODA UKONGA