Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHEKIBUDI ADAIWA KUDHULUMU

Na Mayasa Mariwata STAA wa sinema za Kibongo, Nurdin Mohammed ‘Chekibudi’ amejikuta ameingia kwenye bifu kali na mwigizaji Helen Luanda ‘Zerishi’ baada ya mwanadada huyo kumtuhumu kuwa amemdhulumu kazi yake ya filamu. Staa wa sinema za Kibongo, Nurdin Mohammed ‘Chekibudi’. Akipiga stori na paparazi wetu, Zerishi alisema aliamua kumshirikisha Chekibudi kwenye kazi yake na kukubaliana naye...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Chekibudi afikiria kutema uigizaji

MSANII wa siku nyingi katika tasnia ya filamu, Mohamed Nurdin ‘Chekibudi, amesema mwaka huu 2013 kwake ulikuwa mbaya kutokana na kushindwa kuachia kazi hata moja sokoni jambo linalomfanya kufikiria kuachana...

 

10 years ago

BBCSwahili

Askofu kushtakiwa kwa kudhulumu watoto

Askofu aliyekua mjumbe wa papa katika jamhuri ya Dominican atafikishwa mahakamani Julai 11 kujibu mashtaka ya kuwadhulumu watoto

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi afutwa kazi kwa kudhulumu weusi

Polisi mzungu katika jimbo la Texas nchini Marekani amesimishwa kazi baada kuonekana akihangaisha kundi la vijana weusi

 

11 years ago

GPL

CHEKIBUDI ANA WATOTO 7, MABINTI HAWAMTAKI KISA MANDEVU!

MIPANGO
Chekibudi wewe ni msanii mahiri wa filamu Bongo, je, una mpango gani wa kujiendeleza kwa sasa na uigizaji? Salim Liundi, Dar, 0659601205
CHEKIBUDI:  Asante, kuhusu kujiendeleza ni kwamba kazi zangu zipo nyingi na nitaendelea kutoa zenye ubora zaidi, pia nina mpango wa kufungua kampuni yangu. Msanii mahiri wa filamu Bongo,Nasoro Awardhi 'Cheki Budi'. VIPI KUTOKA KIMATAIFA?
Kwanza nakupa hongera kwa… ...

 

10 years ago

GPL

SNURA ADAIWA ADAIWA KUPORA MUME WA DAVINA

HAMIDA HASSAN
Staa wa muziki wa mduara, Snura Mushi ameingia katika tuhuma nzito akidaiwa kutoka kimapenzi na mume wa rafiki yake Halima Yahya ‘Davina’.
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, kwa kipindi kirefu, Snura amekuwa akionekana nyakati za usiku akiwa na mume wa Davina, wakati mwingine mwanaume huyo anaenda nyumbani kwa Snura au wawili hao kuzungumza kwa muda mrefu ndani ya gari la mwanaume huyo. Staa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani