Chekibudi afikiria kutema uigizaji
MSANII wa siku nyingi katika tasnia ya filamu, Mohamed Nurdin ‘Chekibudi, amesema mwaka huu 2013 kwake ulikuwa mbaya kutokana na kushindwa kuachia kazi hata moja sokoni jambo linalomfanya kufikiria kuachana...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 Feb
Mzee Majuto afikiria kukacha uigizaji
MCHEKESHAJI mkongwe katika tasnia ya filamu nchini, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’, amesema mazingira ya soko la filamu kwa sasa yanamkatisha tamaa na hivyo kumfanya kila wakati afikirie kustaafu na kuhamia...
11 years ago
GPLCHEKIBUDI ADAIWA KUDHULUMU
10 years ago
Habarileo21 Dec
Kilosa kutema 721 kidato 1 kwa kukosa madarasa
HALMASHAURI ya Wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro imekumbwa na upungufu wa vyumba vya madarasa na kusababisha wanafunzi 721 sawa na asilimia 20.4, waliofaulu mtihani wa darasala saba kushindwa kuchaguliwa kutokana na kukosa nafasi katika shule zilizoko kwenye maeneo yao.
11 years ago
GPLCHEKIBUDI ANA WATOTO 7, MABINTI HAWAMTAKI KISA MANDEVU!
11 years ago
MichuziTIMU NZIMA YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAELEKEA MKOANI MWANZA KWAAJILI YA KUANZA ZOEZI LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA
9 years ago
Bongo519 Nov
Avril afikiria kuingia kwenye utangazaji wa TV
Muimbaji wa Kenya, Avril huenda siku za usoni akaonekana kwenye screen yako akiendesha kipindi cha TV.
Avril ameiambia Word Is ya gazeti la The Star la Kenya kuwa amekuwa akifuatwa na watu wengi wanaompa ofa ya kufanya talk show lakini bado hajazitilia maanani.
Yeye mwenyewe pia amesema kwa muda mrefu amekuwa akivutiwa kuendesha kipindi cha TV na kuna uwezekano wa kufanya hivyo siku za usoni.
“Ingawa muziki ni kitu ninachokipenda zaidi, nimewahi kupenda televisheni pia. Labda siku za usoni...
11 years ago
GPLLUIZA MBUTU AFIKIRIA KUIKACHA TWANGA
10 years ago
Habarileo14 Aug
Magufuli afikiria kuondoa malori Dar es Salaam
WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amesema anafikiria namna ya kuondoa malori ya mizigo katikati ya Jiji la Dar es Salaam, ili kupunguza tatizo la foleni na kuzuia uharibifu wa barabara.