Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHILDHOOD ORPHAN CENTER KUZINDULIWA JUMAPILI DAR LIVE

Viongozi wa Childhood Orphan Center wakiwa kwenye Ofisi za Global Publishers, Bamaga,wa kwanza kulia ni Alice Peter Kalale msimamizi wa kituo, wa pili kutoka kulia ni Susanne Stridh public and motivational speaker, wa tatu kutoka kulia ni Alicia Benedicto ni nesi wa kituo na wa mwisho kutoka kulia ni Evelina Benedicto mtoto wa Alicia            Wafanyakazi wa Global Publishers Wakiwa katika picha ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

PSPF, ACB KUDHAMINI BONANZA LA JOGGING DAR LIVE JUMAPILI HII

Meneja Masoko wa Global Publishers, Innocent Mafuru (kushoto) akiwatambulisha wageni waliofika ofisi za Global Publishers kuelezea maandalizi ya Bonanza la Jogging litakalofanyika Dar Live Jumapili hii. Kutoka kushoto ni waratibu wa Bonanza la Dar Live, Rajab Mteta 'KP', Mshauri Barandu wakiwa na Mkuu wa Masoko wa Akiba Commercial Bank (ACB), Innocent Ishengoma.… ...

 

10 years ago

GPL

LIVE KUTOKA DAR LIVE: BURUDANI ZA MWANZO KABLA YA SHOO YA MWANA DAR LIVE

Waimbaji wa Mashauzi Classic wakiwa stejini. Msanii wa Bongo Fleva, Aisha Amsha Popo akifanya vitu vyake katika steji ya Dar Live usiku huu.…

 

9 years ago

Mtanzania

Tamasha la KiliFest kuzinduliwa kwa muziki wa ‘live’

VanessaNA JULIET MORI (TUDARCO)

VIWANJA vya Leaders Club kesho vinatarajiwa kuwaka moto wakati wasanii watakapokuwa wakitumbuiza katika uzinduzi wa tamasha jipya la KiliFest 2015, linalodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

Ili tamasha hili la KiliFest liwe na hadhi kubwa, Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Pamela Kikuli, anasema limeandaliwa kwa umakini mkubwa, huku wasanii wakali na wenye majina makubwa nchini wakitarajiwa kulinogesha.

Wasanii wanaotarajiwa kupamba tamasha hilo...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA DIASPORA INITIATIVE Database & Resources Center – one stop center for lucrative opportunities in Tanzania

Tanzania Diaspora Initiative (TDI) has launched the TDI Database & Resources center, whose purpose is to improve information dissemination to the Tanzanians in the diaspora by bringing the people together to a common platform to discuss and share ideas that help to ensure their collective progress and their respective communities in Tanzania.


The diaspora database collects the information of the Tanzanians in the database so as to make it easy to regularly disseminate information concerning...

 

11 years ago

Michuzi

MISS DAR CITY CENTER KUFANYIKA MEI 24

Na Father Kidevu Blog
SHINDANO la Miss Dar City Center limezinduliwa rasmi jana na linatarajiwa kufanyika mei 24 kwaka huu katika ukumbi ambao utatangazwa baade, huku likishirikisha warembo 15.
Akizungumza katika uzinduzi huo jana, mratibu wa shindano hilo, Judith Charles alisema kuwa, mwaka huu shindano hilo litambapwa na vionjo tofauti tofauti ili kulifanya kuwa la aina yake.
Judith alisema kwamba, wameangalia changamoto zilizotokea kwa waandaaji wa waliopita wa shindano hilo,...

 

11 years ago

GPL

TOP 5 MISS DAR CITY CENTER WAPATIKANA –MAISHA CLUB

Bonge la Nyau akiburudisha.
Baadhi ya warembo wa Miss Dar City Center-2014.
Majaji wakifuatilia mashindano kwa makini.…

 

10 years ago

Lancashire Telegraph

Tanzanian orphan leaves Blackburn College with first class degree


Tanzanian orphan leaves Blackburn College with first class degree
Lancashire Telegraph
A STUDENT who grew up in a Tanzanian orphanage is taking on her latest challenge after graduating with a first class honours degree from Blackburn College. Sophia Joseph, 21, moved to the UK when she was just 16-years-old and barely spoke a word of ...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Daladala’ ya Mv Dar es Salaam kuzinduliwa

Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli amekagua safari ya kivuko cha Mv Dar es Salaam kwa mara ya kwanza hadi Bagomoyo, huku kukiwa na changamoto kadhaa miezi michache kabla ya uzinduzi rasmi wa huduma hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani