Chiligati aachia jimbo la Manyoni mashariki
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Manyoni mashariki (CCM), Kapteni Mstaafu John Chiligati, akiwaaga watendaji na madiwani wa Halmashauri ya Manyoni baada ya kutangaza kutogombea tena nafasi hiyo.(PICHA zote na Jumbe Ismailly). Baadhi ya wajumbe wa baraza la madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Manyoni waliomaliza muda wao julai, mwaka huu wa 2015 wakisikiliza taarifa zinazowasilishwa na watendaji wa Halmashauri ya Manyoni. Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Manyoni...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog16 Sep
Chama cha ACT WAZALENDO chazindua kampeni zake za Ubunge jimbo la Manyoni
baadhi ya wagombea ubunge wa chama cha ACT Wazalendo waliohudhuria mkutano wa uzinduzi katika jimbo la Manyoni-Singida.
Na, Jumbe Ismailly, Manyoni
CHAMA Cha ACT Wazalendo wilaya ya Manyoni Mkoani Singida kimezindua kampeni za ubunge wa jimbo la Manyoni mashariki kwa kumnadi mgombea ubunge wa jimbo hilo,Muttee John Henry na kuwatisha watendaji wa idara ya afya wanaouza madawa kwenye vituo vya kutolea huduma na hivyo kusababisha wananchi kukosa huduma katika vituo vya kutolea huduma...
9 years ago
Dewji Blog19 Dec
Mbunge wa Jimbo la Manyoni Magharibi ahimiza ukusanyaji pamoja na usimamizi wa mapato ya Halmashauri ya Itigi
Mbunge wa jimbo la Manyoni magharibi (CCM), Bwana Yahaya Masare (wa kwanza kutoka kulia) akiwa na Katibu wa CCM wilaya ya Manyoni, Dafrosa aliyekwenda kushuhudia sherehe za uzinduzi wa Halmashauri mpya ya Itigi.
Baadhi ya wananchi na watendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Itigi,wilayani Manyoni waliohudhuria uzinduzi wa Halmashauri mpya ya Itigi, Mkoani Singida.
Mbunge wa jimbo la Manyoni magharibi(CCM)Bwana Yahaya Masare(wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi...
10 years ago
Dewji Blog08 Jul
Manyoni kuondoa ombaomba kandokando ya barabara kuu ya Dodoma-Manyoni
Mkuu wa Wilaya ya Manyoni, Bi Fatma Hassani Toufiq katika moja ya shughuli za kujenga taifa mkoani Singida.(Picha na Jumbe Ismailly).
Na Jumbe Ismailly,Manyoni
MAKAZI ya walemavu na wasiojiweza ya Sukamahela,wilayani Manyoni,Mkoani Singida yalianzishwa mwaka 1974 katika Kijiji cha Sukamahela,kata na tarafa ya Kilimatinde chini ya Idara ya Ustawi wa jamii kwa dhamana ya serikali.
Makazi hayo yaliyoanzishwa mwaka 1974 yalikuwa na walemavu 148 wakiwemo wanaume 57,wanawake 51,watoto wa...
10 years ago
MichuziMASHINDANO YA MALECELA CUP 2014 YAMALIZIKA JIMBO LA SAME MASHARIKI
Mbunge wa Same Mashariki Anne Kilango Malecela akiongozwa na katibu wa chama cha soka wilaya ya Same Nathaniel Msangi kwenda kukagua timu za sekondari ya Parane na Ntenga zilizokuwa zikicheza mchezo wa fainali ya kwanza.
BOFYA HAPA...
9 years ago
Vijimambo11 years ago
Michuzi27 Apr
MAKAMU ASKOFU JIMBO LA MASHARIKI KASKAZINI ASISITIZA KATIBA BORA
Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumapili, Aprili 27, 2014) wakati akizungumza na waumini wa Kanisa la Tanzania Assemblies of Mwenge (TAG) katika ibada ya kuadhimisha miaka 75 ya Kanisa la TAG hapa nchini.
Mchungaji Mwaipopo ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo alisema:...
10 years ago
MichuziJOSHUA NASSARI ACHAGULIWA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI
Wanachama wa Chadema wakipiga kura za maoni kwaajili ya kumchagua mgombea ubunge jimbo la Arumeru Mashariki katika Mji Mdogo wa Usa River,Joshua Nassari alipata kura...
10 years ago
MichuziZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE JIMBO LA SAME MASHARIKI.
10 years ago
VijimamboMGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA KUSINI MASHARIKI KHALIFA KONDO MPONDA ACHUKUA FOMU