Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chiligati aponda wapinzani

WAZIRI wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Kapteni mstaafu John Chiligati amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatekeleza ahadi zake na haoni mantiki za wapinzani kupita kwenye majimbo kubeza juhudi zinazofanywa na Serikali katika kuwaletea wananchi maendeleo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

IPPmedia

Chiligati new MKURABITA chairperson


IPPmedia
Chiligati new MKURABITA chairperson
IPPmedia
John Chiligati new Chairperson of the Executive Committee for the Property and Business Formalization Programme (MKURABITA). President Jakaya Kikwete has appointed the Manyoni East MP (CCM) John Chiligati new Chairperson of the Executive ...
MKURABITA gets new chiefDaily News

all 2

 

11 years ago

TheCitizen

We should be proud of Union, says Chiligati

Tanzanians have been exhorted to be proud of the Union between Tanganyika and Zanzibar which is unique in Africa and worldwide.

 

10 years ago

IPPmedia

Chiligati: All not well with national ID scheme


Chiligati: All not well with national ID scheme
IPPmedia
Amid reports that all was well with the National Identification Authority (NIDA) on the registration and issuance of national IDs, there is revelation that there have been 'manipulations'in the entire exercise. Parliamentary watchdog committee on defense and ...
Lack of funds delays national ID registrationDaily News

all 4

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK amteua Chiligati Mwenyekiti Mkurabita

RAIS Jakaya Kikwete amemteua Mbunge wa Manyoni Mashariki, Kapteni mstaafu, John Chiligati kuwa Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Mkurabita kwa miaka mitatu kuanzia Julai Mosi. Sambamba na uteuzi huo, Waziri...

 

10 years ago

Dewji Blog

Chiligati aachia jimbo la Manyoni mashariki

SAM_0035

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Manyoni mashariki (CCM), Kapteni Mstaafu John Chiligati, akiwaaga watendaji na madiwani wa Halmashauri ya Manyoni baada ya kutangaza kutogombea tena nafasi hiyo.(PICHA zote na Jumbe Ismailly). SAM_0027 Baadhi ya wajumbe wa baraza la madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Manyoni waliomaliza muda wao julai, mwaka huu wa 2015 wakisikiliza taarifa zinazowasilishwa na watendaji wa Halmashauri ya Manyoni. SAM_0045 Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Manyoni...

 

10 years ago

Mtanzania

Mkapa aponda uteuzi wa viongozi

Elias Msuya na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
RAIS mstaafu, Benjamin Mkapa, amekosoa uteuzi wa viongozi wa umma nchini akisema sera ya utumishi wa umma inayojali utaalamu haifuatwi.
Ametoa kauli hiyo wiki chache baada ya kuzuka mjadala wa uteuzi wa wakuu wa wilaya uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete, huku ikielezwa haukuzingatia weledi, maadili na uzoefu kwa walioteuliwa.
Akizungumza katika siku ya pili ya uzinduzi wa Kavazi la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam jana, Mkapa aliyekuwa mtoa mada,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kadu aponda uongozi Simba

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa klabu ya Simba, Mwina Kaduguda ‘Simba wa Yuda’, ameushukia uongozi unaomaliza muda wake chini ya Mwenyekiti Aden Rage ‘Tutu Vengere’, kuwa hakuna kitu cha msingi ulichokifanya...

 

11 years ago

Mwananchi

Mjumbe aponda wazee, azomewa

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Shaka Omari Masoud, amesema hatasikiliza maneno ya ushawishi kutoka kwa wazee ambao alidai kibailojia, watakufa lakini yeye baada ya miaka 50 ijayo, atakuwepo kutetea Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani