Kadu aponda uongozi Simba
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa klabu ya Simba, Mwina Kaduguda ‘Simba wa Yuda’, ameushukia uongozi unaomaliza muda wake chini ya Mwenyekiti Aden Rage ‘Tutu Vengere’, kuwa hakuna kitu cha msingi ulichokifanya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-fOu97nPznnQ/U24KfNBPxFI/AAAAAAAFgpI/C_PIzCYTFLM/s72-c/unnamed.jpg)
JP AWANIA UONGOZI SIMBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-fOu97nPznnQ/U24KfNBPxFI/AAAAAAAFgpI/C_PIzCYTFLM/s1600/unnamed.jpg)
11 years ago
Mwananchi23 Jun
Kipimo cha uongozi si kuifunga Simba au Yanga
11 years ago
Uhuru Newspaper02 Jul
Mufti Simba ashusha rungu, ang’oa uongozi
NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
SHEIKH Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bn Simba, ametangaza kuung’oa uongozi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa na ule wa Quba jijini Arusha na kutangaza uongozi mpya.
Amesema uongozi huo, utakaa madarakani hadi pale atakapofanya mabadiliko mengine ikilazimika.
Kutangazwa kwa uongozi huo, kumetengua kitendaliwa cha muda mrefu kuhusu viongozi halali wa Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) kwa wilaya ya Arusha na mkoa wa Arusha.
Kabla ya kutangaza uamuzi huo, Mufti...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39chAM-T1wK7O8cwXqJfCxg3xJGSeI2RpYKMUD09kn0WTjfWscoZf8azyhKAGd8DtDtU05In7tPa2Fs9O7-kBTZ3/simba3.jpg?width=650)
WAGOMBEA UONGOZI SIMBA WACHUKUA FOMU KWA MBWEMBWE
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Kipimo cha uongozi siyo kuifunga Simba au Yanga
9 years ago
StarTV18 Aug
UONGOZI SIMBA:Wasubiri ripoti ya kocha Kerr kuhusu kambi.
Klabu ya soka ya Simba inasubiri ripoti ya kocha mkuu wa timu hiyo Dylan Kerr ambayo itaeleza wapi timu hiyo itaweka kambi ya mwisho ya kujiandaa na ligi kuu soka Tanzania bara.
Simba imesema ripoti hiyo itaeleza ni mchezaji gani anatakiwa kusajiliwa miongoni mwa wale waliopo klabuni hapo kwa ajili ya majaribio.
Haji Manara ni Afisa Habari wa Simba amesema baada ya kumaliza mchezo wao dhidi ya URA ambao waliutumia kuwapima baadhi ya wachezaji lakini ripoti ya kocha ndiyo itategua kitendawili...
11 years ago
Habarileo02 Jul
Chiligati aponda wapinzani
WAZIRI wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Kapteni mstaafu John Chiligati amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatekeleza ahadi zake na haoni mantiki za wapinzani kupita kwenye majimbo kubeza juhudi zinazofanywa na Serikali katika kuwaletea wananchi maendeleo.
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Mnyika aponda Rasimu ya Kanuni