Mufti Simba ashusha rungu, ang’oa uongozi
NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
SHEIKH Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bn Simba, ametangaza kuung’oa uongozi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa na ule wa Quba jijini Arusha na kutangaza uongozi mpya.
Amesema uongozi huo, utakaa madarakani hadi pale atakapofanya mabadiliko mengine ikilazimika.
Kutangazwa kwa uongozi huo, kumetengua kitendaliwa cha muda mrefu kuhusu viongozi halali wa Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) kwa wilaya ya Arusha na mkoa wa Arusha.
Kabla ya kutangaza uamuzi huo, Mufti...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo10 Nov
Magufuli ashusha rungu Muhimbili
RAIS Dk John Magufuli ameanza kudhihirisha kuwa serikali yake haitakuwa na simile kwa watendaji wazembe baada ya jana kuivunja Bodi ya Wakurugenzi ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) pamoja na kumuondoa madarakani Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa hospitali hiyo, Dk Hussein Kidanto.
9 years ago
Habarileo14 Nov
Makinda ang’atuka uongozi wa kisiasa
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza muda wake, Anne Makinda ameamua kung’atuka uongozi wa kisiasa baada ya kutumikia nafasi hizo kwa miaka 40.
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Rungu la TRA lageukia Simba, Yanga
10 years ago
Bongo Movies08 Apr
Katibu wa Shirikisho la Filamu ang’olewa Uongozi, Alitaka kumng’oa Mwakifamba
Bodi ya shirikisho la filamu hapa nchini lamemuondoa taff Bishop Hiluka kuwa katibu wa shirikisho hilo kwa kusuka mipango ya kumng’oa Rais Mwakifwamba
NI kikao kilichochukua zaidi ya saa nane kujadili agenda kadhaa lakini iliyoonyesha kuwa ni hatari na kuchukua muda wa wajumbe ilikuwa ni mikakati inayosemekana kusukwa na katibu Bishop Hiluka kutaka kumng’oa rais wa shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba, hatimaye Bodi kwa kupiga kura ikafikia muafaka kuwa katibu aachie ngazi na...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Mufti Simba aonya Waislamu
SHEIKH Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa bin Shaaban Simba, amewataka waumini wa dini ya Kiislamu kufuata amri na mafundisho sahihi ya dini hiyo ili kujiepusha na maovu. Mufti Simba alisema...
10 years ago
Mtanzania16 Jun
Mufti Simba afariki dunia
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
SHEIKH Mkuu wa Tanzania, Mufti Shaaban Issa bin Simba (78), amefariki dunia jana asubuhi katika Hosptali ya TMJ, jijini Dar es Salaam.
Kifo hicho cha Mufti Simba ni pigo kubwa kwa Waislamu na taifa kwa ujumla.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, alisema kifo cha kiongozi huyo kimetokea huku akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya TMJ.
Alisema Mufti Simba alikuwa akiugua kwa muda mrefu maradhi ya...
10 years ago
IPPmedia16 Jun
Nation mourns Mufti Simba
IPPmedia
Tanzania's Chief Sheikh (Mufti), Issa Shaaban Bin Simba, died yesterday morning at the TMJ Hospital in Dar es Salaam where he was admitted for the last three days. He was being treated for diabetes and blood pressure related problems that he had ...
Sheikh Simba is dead; to be buried todayDaily News
all 2
10 years ago
Habarileo17 Jun
Maelfu wamzika Mufti Simba
RAIS Jakaya Kikwete, jana aliwaongoza maelfu ya wakazi wa Shinyanga na mikoa jirani, viongozi wa dini, Serikali na wanasiasa kumzika aliyekuwa Mufti na Shehe Mkuu wa Tanzania, Issa bin Shaaban Simba ,78, (pichani) aliyeaga dunia juzi jijini Dar es Salaam na kuzikwa jana jioni mjini hapa.
10 years ago
Mwananchi16 Jun
Mufti Simba afariki kuzikwa Shinyanga