Makinda ang’atuka uongozi wa kisiasa
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza muda wake, Anne Makinda ameamua kung’atuka uongozi wa kisiasa baada ya kutumikia nafasi hizo kwa miaka 40.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania14 Nov
Makinda: Ninang’atuka
*Asema anafuata nyayo za Kikwete
*Ampisha Magufuli kuunda timu yake
Agatha Charles na Allen Msapi (GHI)
SPIKA wa Bunge la 10, Anne Makinda, jana alitangaza kustaafu wadhifa wake wa uspika kwa sababu ya umri kumtupa mkono.
Makinda alitangaza uamuzi huo katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika Ofisi Ndogo za Bunge, jijini Dar es Salaam.
Alisema ameamua kustaafu wadhifa wa uspika kwa sababu ya umri wake kuwa mkubwa na pia kupisha damu changa za wanasiasa vijana kushika wadhifa...
11 years ago
BBCSwahili15 Jul
William Hague wa UK ang'atuka
11 years ago
BBCSwahili09 Jan
Waziri mkuu wa Tunisia ang'atuka
10 years ago
Mwananchi03 Nov
Kiongozi wa zamani Chadema Z’bar ang’atuka
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-u8u3TSbJ0Sw/XpW6-80Xm6I/AAAAAAALm7I/zF8bWtC-XXYoVEC0P5oxIZCX62TWI1C9QCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-04-14%2Bat%2B4.09.13%2BPM.jpeg)
MBUNGE CHADEMA ANG'ATUKA, ATANGAZA KUTOGOMBEA TENA
![](https://1.bp.blogspot.com/-u8u3TSbJ0Sw/XpW6-80Xm6I/AAAAAAALm7I/zF8bWtC-XXYoVEC0P5oxIZCX62TWI1C9QCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-04-14%2Bat%2B4.09.13%2BPM.jpeg)
Mbunge huyo ametangaza kauli hiyo leo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya makadirio ya mapato ya Wizara ya Tamisemi ambapo amewatakia kila heri wabunge wengine.
Tofauti na Komu, Lwakatare yeye hajatangaza kuhamia chama chochote badala yake amesema hatogombea tena katika uchaguzi Mkuu...
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Maina Owino ang’atuka Uenyekiti wa CCM tawi la Uingereza
-BI. MARIAM MUNGULA ASIMAMISHWA KAZI KATIBU WA TAWI
Mwenyekiti wa CCM UK Ndugu Maina Ang’iela Owino(pichani) jana ametangaza rasmi nia yake ya kujiuzulu Uongozi wa CCM Tawi la UK baada ya kutumikia toka mwaka 2007.
Ndugu Owino alitoa uamuzi huo wa hiari wakati akifungua rasmi kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Tawi la UK kilichokaa jana Jumamosi tarehe 12/04/2014 katika jiji la Reading, Berkshire, Uingereza.
Ndugu Owino aliwakumbusha wajumbe kuwa awali aliomba kukitumikia Chama kwa muhula...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-w9YO2DUxUQM/XoRy1adPB2I/AAAAAAALlxg/iJQxPAlARt8nwbCDzUst1prW2Z_1TbedQCLcBGAsYHQ/s72-c/3784ef2b-c9dd-4b84-a09e-5f2742114b5e.jpg)
KIGOGO WA ACT WAZALENDO ANG'ATUKA, ARUSHA MAKOMBORA KWA ZITTO NA MAALIM SEIF
Charles James, Globu ya Jamii
KIMENUKA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya aliyekua Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Yeremia Maganja kutangaza kukihama chama hicho kwa kile alichoeleza kutoridhishwa na mwenendo wa chama hicho.
Maganja ambaye pia amewahi kuwa mshauri wa ACT amesema sababu kuu zilizomfanya ajiondoe kwenye chama hicho ni namna ambavyo uchaguzi mkuu uliofanyika Machi mwaka huu ulivyoendeshwa pamoja na ujio wa Maalim Seif Sharif Hamad kutokea Chama cha Wananchi...
11 years ago
Uhuru Newspaper02 Jul
Mufti Simba ashusha rungu, ang’oa uongozi
NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
SHEIKH Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bn Simba, ametangaza kuung’oa uongozi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa na ule wa Quba jijini Arusha na kutangaza uongozi mpya.
Amesema uongozi huo, utakaa madarakani hadi pale atakapofanya mabadiliko mengine ikilazimika.
Kutangazwa kwa uongozi huo, kumetengua kitendaliwa cha muda mrefu kuhusu viongozi halali wa Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) kwa wilaya ya Arusha na mkoa wa Arusha.
Kabla ya kutangaza uamuzi huo, Mufti...
10 years ago
Bongo Movies08 Apr
Katibu wa Shirikisho la Filamu ang’olewa Uongozi, Alitaka kumng’oa Mwakifamba
Bodi ya shirikisho la filamu hapa nchini lamemuondoa taff Bishop Hiluka kuwa katibu wa shirikisho hilo kwa kusuka mipango ya kumng’oa Rais Mwakifwamba
NI kikao kilichochukua zaidi ya saa nane kujadili agenda kadhaa lakini iliyoonyesha kuwa ni hatari na kuchukua muda wa wajumbe ilikuwa ni mikakati inayosemekana kusukwa na katibu Bishop Hiluka kutaka kumng’oa rais wa shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba, hatimaye Bodi kwa kupiga kura ikafikia muafaka kuwa katibu aachie ngazi na...