Maina Owino ang’atuka Uenyekiti wa CCM tawi la Uingereza
-BI. MARIAM MUNGULA ASIMAMISHWA KAZI KATIBU WA TAWI
Mwenyekiti wa CCM UK Ndugu Maina Ang’iela Owino(pichani) jana ametangaza rasmi nia yake ya kujiuzulu Uongozi wa CCM Tawi la UK baada ya kutumikia toka mwaka 2007.
Ndugu Owino alitoa uamuzi huo wa hiari wakati akifungua rasmi kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Tawi la UK kilichokaa jana Jumamosi tarehe 12/04/2014 katika jiji la Reading, Berkshire, Uingereza.
Ndugu Owino aliwakumbusha wajumbe kuwa awali aliomba kukitumikia Chama kwa muhula...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
CCM Blog![](http://3.bp.blogspot.com/-JeMJPo225gA/VjJI71aPY-I/AAAAAAAAqv8/7DMuAhz_Ghc/s72-c/CCM.jpg)
SALAAM ZA PONGEZI TOKA CCM TAWI LA UINGEREZA
![](http://3.bp.blogspot.com/-JeMJPo225gA/VjJI71aPY-I/AAAAAAAAqv8/7DMuAhz_Ghc/s1600/CCM.jpg)
"CCM TAWI LA UINGEREZA Linatoa Pongezi nyingi sana kwa ushindi mkubwa aliyopata mgombea wetu wa urais Dr. John Pombe Joseph Magufuli pamoja na wabunge, madiwani na wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine kufanikisha ushindi huu mkubwa.
CHAMA CHA MAPINDUZI - UINGEREZA."
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzTY94yzCcLJr-WfHxWZH8abop0gUOOWaWQNC6LU22mZL-mdfWJxkfb7jJjS*pwQ2vFoL20PHswtsNSeNkcm-HwibxiR1pbZ/CCM.jpg)
TAARIFA MUHIMU TOKA CCM TAWI LA UINGEREZA
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/OBbSQlEfliE/default.jpg)
11 years ago
BBCSwahili15 Jul
William Hague wa UK ang'atuka
10 years ago
Vijimambo08 Aug
Mbatia Asema Yake Baada Ya Profesa Lipumba Kung’atuka Uenyekiti CUF
![](http://i1.wp.com/dar24.com/wp-content/uploads/2015/08/Mbatia.jpg?resize=702%2C336)
Kufuatia uamuzi wa Profesa Ibrahim Lipumba kujiuzulu nafasi ya uenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), watu mbalimbali wamekuwa na mtazamo tofauti huku wengi wakitaka kujua hatua hiyo imepokelewa vipi na viongozi wa Ukawa.Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi, James Mbatia ameelezea jinsi alivyopokea taarifa za hizo akiwa mwenyekiti mwenza wa Ukawa.Akiongea katika mahojiano maalum na waandishi wa habari, Mbatia amesema kuwa uamuzi huo ni wa kawaida kwa kuzingatia mfumo wa vyama vingi nchini na kwamba...
9 years ago
Habarileo14 Nov
Makinda ang’atuka uongozi wa kisiasa
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza muda wake, Anne Makinda ameamua kung’atuka uongozi wa kisiasa baada ya kutumikia nafasi hizo kwa miaka 40.
11 years ago
BBCSwahili09 Jan
Waziri mkuu wa Tunisia ang'atuka
10 years ago
Mwananchi03 Nov
Kiongozi wa zamani Chadema Z’bar ang’atuka
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-u8u3TSbJ0Sw/XpW6-80Xm6I/AAAAAAALm7I/zF8bWtC-XXYoVEC0P5oxIZCX62TWI1C9QCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-04-14%2Bat%2B4.09.13%2BPM.jpeg)
MBUNGE CHADEMA ANG'ATUKA, ATANGAZA KUTOGOMBEA TENA
![](https://1.bp.blogspot.com/-u8u3TSbJ0Sw/XpW6-80Xm6I/AAAAAAALm7I/zF8bWtC-XXYoVEC0P5oxIZCX62TWI1C9QCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-04-14%2Bat%2B4.09.13%2BPM.jpeg)
Mbunge huyo ametangaza kauli hiyo leo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya makadirio ya mapato ya Wizara ya Tamisemi ambapo amewatakia kila heri wabunge wengine.
Tofauti na Komu, Lwakatare yeye hajatangaza kuhamia chama chochote badala yake amesema hatogombea tena katika uchaguzi Mkuu...