Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rungu la TRA lageukia Simba, Yanga

‘Ukiona mwenzako akinyolewa, nawe tia maji,’ hicho ndicho kinachofuata kwa klabu kongwe za  soka nchini, Simba na Yanga baada ya Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kugeukia akaunti zao kutokana na wao kudaiwa pia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

TRA yazigeukia Simba, Yanga

Wakati rungu la Rais John Magufuli kuhusu wakwepa kodi likitua Shirikisho la Soka Tanzanianchini (TFF), klabu za Ligi Kuu zikiwamopamoja na Simba na Yanga zimeanza kuweweseka juu ya hatma yao kwa suala la kodi za mishahara ya wachezaji (Paye).

 

9 years ago

Mtanzania

TRA: Rais Magufuli ametupa rungu

4NA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imesema kuanzia sasa inaanza kutekeleza agizo la Rais Dk. John Magufuli la kuwakamata wafanyabiashara watakaokwepa kulipa kodi na kuwafikisha mbele ya vyombo vya dola.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade, alisema uamuzi wa kuwakamata wafanyabiashara ambao siku za nyuma walikuwa wakikingiwa kifua na watendaji wa Serikali, utaanza mara moja baada ya kupata baraka za Rais...

 

10 years ago

Mwananchi

Rungu la TFF laishukia Yanga

Yanga imeangushiwa rungu zito na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kutakiwa ilipe Sh 2 milioni, zikiwa adhabu zinatokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu kwenye baadhi ya mechi za Ligi Kuu.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mufti Simba ashusha rungu, ang’oa uongozi


NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
SHEIKH Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban  bn Simba, ametangaza kuung’oa uongozi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa na ule wa Quba jijini Arusha na kutangaza uongozi mpya.
Amesema uongozi huo, utakaa madarakani hadi pale atakapofanya mabadiliko mengine ikilazimika.
Kutangazwa kwa uongozi huo, kumetengua kitendaliwa cha muda mrefu kuhusu viongozi halali wa Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) kwa wilaya ya Arusha na mkoa wa Arusha.
Kabla ya kutangaza uamuzi huo, Mufti...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.

Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.

Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.

Unahisi nani ataibuka kidedea...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

AUNGURUMAPO SIMBA MCHEZA NANI DAKIKA 90 SIMBA 1 YANGA 0

 Timu ya Yanga imeendeleza uteja tena leo katika mchezo wa wahasimu hao uliochezwa uwanja wa taifa leo baada ya timu ya Simba kuibamiza Yanga goli 1 bila majibu goli lililofungwa na Emmanuel Okwi mchezaji aliyeikimbia timu hiyo yenye masikani yake Jangwani katika dakika ya 52. Wachezaji wa Simba na Yanga wakiwa katika mpambano.Mchezaji Simon Msuva akijaribu kufanya mashambulizi goli mwa Simba shuti lake halikuweza kuleta madhara yeyote mpaka dakika 90 Simba 1 na Yanga 0. Picha kwa hisani ya...

 

9 years ago

Vijimambo

YANGA NI ZAIDI YA MCHARO WAWALIZA SIMBA KWEUPEEE GOLI 2 BILA MAJIBU UTEJA KWA SIMBA KWISHINEIIIIIII!!

Yanga ni zaidi ya Mcharo Simba wametepweta baada ya kukubali goli moja kila kipindi alikuwa Tambwe aliandika bao la kwanza dk ya 44 ya kipindi cha kwanza, ikumbukwe kuwa Tambwe alikuwa kipenzi cha wana msimbazi hao na wakampotezea na kunyakuliwa na Yanga. Kipindi cha pili Busungu aliesajiliwa kutoka kwa wafunga buti wa mgambo aliiandikia Yanga bao la 2 dk ya 79. Yanga sasa imefuta uteja uliodumu zaidi ya miaka 5 kila wanavyo kutana na Simbanilikuwa ni kilio tu cha kusanga meno safari hii ni...

 

11 years ago

Mwananchi

KAMPENI SIMBA: Wagombea Simba waijadili Yanga

>Wagombea wa nafasi za urais katika uchaguzi mkuu wa Simba, Andrew Tupa na Evans Aveva wamesema wanachukizwa na uwepo wa makundi katika klabu hiyo pamoja na mafanikio ya watani zao Yanga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani