Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rungu la TFF laishukia Yanga

Yanga imeangushiwa rungu zito na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kutakiwa ilipe Sh 2 milioni, zikiwa adhabu zinatokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu kwenye baadhi ya mechi za Ligi Kuu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Jeshi la Yanga SC laishukia Platinum

Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, wanashuka uwanjani leo kuikabili Platinum ya Zimbabwe katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Kombe la Shirikisho barani Afrika.

 

9 years ago

Mwananchi

Rungu la TRA lageukia Simba, Yanga

‘Ukiona mwenzako akinyolewa, nawe tia maji,’ hicho ndicho kinachofuata kwa klabu kongwe za  soka nchini, Simba na Yanga baada ya Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kugeukia akaunti zao kutokana na wao kudaiwa pia.

 

11 years ago

Mwananchi

TFF yaishangaa Yanga

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limeshangazwa na madai ya klabu ya Yanga kwamba mpaka sasa haijapata mwaliko rasmi wa kushiriki Michuano ya Kagame na limeionya iache kutafuta visingizio.

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA YAIKOMALIA TFF

Yanga yaikomalia TFF
KLABU ya Yanga bado imeendelea kulikalia kooni Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF juu ya mabadiliko ya kanuni ya 37 ibara ya 3
KLABU ya Yanga bado imeendelea kulikalia kooni Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF juu ya mabadiliko ya kanuni ya 37 ibara ya 3 ambayo imerekebishwa Februari 8 2015 ikimruhusu mchezaji kuchagua mechi za kucheza ikiwa anatumikia kadi tatu za njano mfululizo .Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Yanga Jerry Muro ameiambia Goal kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

TFF yaigwaya Yanga

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limebariki mwenyekiti ya Yanga, Yusuf Manji kuongezewa muda baada ya kushindwa kulifikisha suala la katiba ya klabu hiyo kwa Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji.

 

11 years ago

Mwananchi

TFF yaivimbia Yanga

 Siku moja baada ya Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji kulipa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) siku saba kumaliza suala la mshambuliaji wao Emmanuel Okwi aliyejiunga Simba, Shirikisho hilo limesema Yanga wasiwaamrishe kwani wanafanya kazi kwa mujibu wa katiba na kanuni zao.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yakana madai ya TFF

Mkurugenzi wa Fedha wa Yanga, Dennis Oundo amesema alichukua fedha Sh15 milioni kwa mawakala wa kuuza tiketi wakati wa mechi dhidi ya Simba kwa utaratibu na wala hakupora kama inavyodaiwa na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

 

11 years ago

Mwananchi

TFF yaiweka Yanga mtegoni

Yanga ipo kwenye hatari  ya kuondolewa  kwenye Ligi Kuu iwapo uongozi  wake utashindwa kuwasilisha muhtasari wa kikao cha  mabadiliko ya katiba ya klabu hiyo ndani ya siku saba.

 

10 years ago

Vijimambo

TFF yatekeleza maagizo ya Yanga

Yamfungia refa aliyeachia Tambwe akabwe kooWachezaji wa Ruvu Shooting na Yanga wakigombana wakati wa mchezo uliozikutanisha timu hizo mwishoni mwa wiki.
Katika kile kinachoonekana kama kuendeshwa na Yanga, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemfungia refa Mohamed Teofile kuchezesha mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu huu.

Jana mchana NIPASHE ilipata taarifa kutoka ndani ya TFF zikieleza kuwa refa huyo ameondolewa katika ratiba ya waamuzi wa msimu huu, taarifa ambazo baadaye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani