TRA: Rais Magufuli ametupa rungu
NA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imesema kuanzia sasa inaanza kutekeleza agizo la Rais Dk. John Magufuli la kuwakamata wafanyabiashara watakaokwepa kulipa kodi na kuwafikisha mbele ya vyombo vya dola.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade, alisema uamuzi wa kuwakamata wafanyabiashara ambao siku za nyuma walikuwa wakikingiwa kifua na watendaji wa Serikali, utaanza mara moja baada ya kupata baraka za Rais...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Rungu la TRA lageukia Simba, Yanga
9 years ago
Mwananchi22 Dec
Kasi ya Rais Magufuli yafuta likizo TRA
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Rais Magufuli Aipongeza TRA Kukusanya Trilioni 1.3 kwa Mwezi Mmoja
Rais Dkt John Pombe Magufuli.
Rais Magufuli amempongeza Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Dkt. Philip Mpango kwa kazi nzuri ya ukusanyaji wa mapato inayofanywa na mamlaka hiyo ambayo imeongeza ukusanyaji wa Mapato na kwa mara ya kwanza mwezi huu ukusanyaji wa mapato hayo unatarajiwa kuwa zaidi ya shilingi trilioni 1.3
Kutokana na mafanikio hayo amewahakikishia watanzania kuwa fedha kwa ajili ya kutimiza ahadi ya kutoa elimu bure kwa shule za msingi na sekondari ambazo ni...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-K2mqGgno4ZE/VlhmpPjqKEI/AAAAAAAIIn8/FPEkOPRsyto/s72-c/45.jpg)
BREAKING NYUZZZZZZ......: RAIS MAGUFULI AMSIMAMISHA KAZI KAMISHNA MKUU WA TRA
![](http://3.bp.blogspot.com/-K2mqGgno4ZE/VlhmpPjqKEI/AAAAAAAIIn8/FPEkOPRsyto/s640/45.jpg)
Hatua hiyo imekuja baada kubaini kupitishwa kwa makontena zaidi ya 300 na kusababishia hasara Serikali ya zaidi ya shilingi bilioni 80.
Rais Magufuli pia amemteua Katibu...
9 years ago
Mtanzania01 Dec
Rungu jipya la Magufuli
*Fagio la kupunguza wafanyakazi mashirika ya umma
*Posho za wabunge vikao vya bodi zapigwa marufuku
RUTH MNKENI NA JONAS MUSHI, DAR ES SALAAM
SERIKALI ya awamu ya tano chini ya Rais Dk. John Magufuli, imeshusha rungu jipya kwa kutangaza uamuzi mchungu wa kupunguza wafanyakazi katika taasisi na mashirika ya umma ambayo yameonekana kuwa mzigo katika utendaji.
Mashirika hayo yameelezwa licha ya kuwa na watumishi wengi, lakini bado uzalishaji na utendaji wake umekuwa hauna tija kwa taifa.
Hayo...
9 years ago
Habarileo10 Nov
Magufuli ashusha rungu Muhimbili
RAIS Dk John Magufuli ameanza kudhihirisha kuwa serikali yake haitakuwa na simile kwa watendaji wazembe baada ya jana kuivunja Bodi ya Wakurugenzi ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) pamoja na kumuondoa madarakani Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa hospitali hiyo, Dk Hussein Kidanto.
9 years ago
Mtanzania30 Nov
Rungu la Magufuli latua kwa Bakhresa
*TRA yazuia makontena yake bandari kavu
*Polisi yasema uchunguzi mzito unaendelea
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imezuia kampuni ya Said Salim Bakhresa & Co. Limited kupeleka makontena yake katika Bandari yake Kavu (ICD), baada ya kugundulika kuwa baadhi ya makontena yalipitishwa bila kulipiwa kodi.
Kwa mujibu wa barua ya TRA ya Novemba 17, mwaka huu, iliyosainiwa na Wolfagang Salia kwa niaba ya Kamishina wa Forodha na Ushuru wa Bidhaa, kampuni hiyo...
9 years ago
MillardAyo06 Jan
TRA ya Rais Magufuli imevunja rekodi hii makusanyo ya Kodi, yale makontena je? Hii hapa yote..
Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali pamoja na zile jitihada za kuhakikisha Tanzania inakuwa na makusanyo mazuri ya mapato ya Serikali imekuja na good news leo January 06 2016. Waziri mpya wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango aliwahi kunukuliwa akisema ni aibu kwa kiongozi wa nchi kwenda nje ya […]
The post TRA ya Rais Magufuli imevunja rekodi hii makusanyo ya Kodi, yale makontena je? Hii hapa yote.. appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Mwananchi06 Jul
Slaa: Rais Kikwete ana rungu la Katiba Mpya