Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAGOMBEA UONGOZI SIMBA WACHUKUA FOMU KWA MBWEMBWE

Aveva akiwasili mtaa wa Msimbazi kwa msafara. ...Akionesha alama ya tatu ambayo alisema maana yake ni pointi tatu ni muhimu kila mechi.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wambura arejesha fomu kwa mbwembwe Simba

MGOMBEA urais wa Klabu ya Simba, Michael Wambura, jana alirejesha fomu kwa mbwembwe makao makuu ya klabu hiyo Msimbazi jijini Dar es Salaam, huku kundi la wachezaji wa zamani likijitokeza...

 

11 years ago

Mwananchi

Mgimwa achukua fomu za Ubunge kwa mbwembwe

Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga kupitia CCM, Godfrey Mgimwa jana amechukua rasmi fomu ya kuwania kiti hicho kwa mbwewe katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Vijijini, huku akitaja vipaumbele vinne alivyodai kuvifanyia kazi mara atakapotangazwa mshindi.

 

10 years ago

Mwananchi

URA yaichapa Simba kwa mbwembwe

Simba imekubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa URA katika mchezo wa kirafiki uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

Migiro, mwanafunzi wachukua fomu

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose MigiroWAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose Migiro jana alichukua fomu ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, hivyo kufikisha idadi ya makada 36 wa chama hicho wanaowania urais, lakini pia akiwa mwanamke wa nne kuthubutu kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu.

 

9 years ago

Habarileo

12 wachukua fomu urais Zanzibar

WAGOMBEA 12 wa urais wa Zanzibar wamejitokeza kuchukua fomu kwa ajili ya kuwania nafasi hiyo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Leicester wachukua uongozi EPL

Leicester wanaongoza msimamo wa Ligi Kuu Uingereza baada ya kupata ushindi wa 3-0 dhidi ya Swansea huku Arsenal, waliopata ushindi wa 3-1 nyumbani dhidi ya Sunderland wakishikilia nafasi ya pili.

 

10 years ago

Mtanzania

Watangaza nia wachukua fomu za urais

MAKADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliotangaza nia ya kugombea urais, jana wameanza kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na chama chao mjini Dodoma.
Kila aliyechukua fomu alikutana na waandishi wa habari nje ya jengo la makao makuu ya CCM na kueleza nini ambacho atawafanyia Watanzania endapo akiteuliwa kupeperusha bendara ya chama chake.

PROFESA MWANDOSYA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark Mwandosya, alisema makundi yaliyoibuka ndani ya chama hicho yanaashiria baadhi...

 

10 years ago

Habarileo

Watatu wachukua fomu za urais NEC

WAGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka vyama vitatu vya siasa nchini, wamechukua fomu za kuwania nafasi hiyo, huku wakikirushia Chama Cha Mapinduzi (CCM) tuhuma kutokana na changamoto mbalimbali za nchi. Wagombea hao walichukua fomu hizo kutoka Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dar es Salaam jana.

 

9 years ago

Habarileo

ubungeWanaowania uwakilishi, ubunge wachukua fomu

WAGOMBEA wa nafasi za ubunge, uwakilishi pamoja na udiwani wamejitokeza kwa wingi kuchukua fomu za kugombea nafasi hizo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi katika ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani