JP AWANIA UONGOZI SIMBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-fOu97nPznnQ/U24KfNBPxFI/AAAAAAAFgpI/C_PIzCYTFLM/s72-c/unnamed.jpg)
Bw. Alfred Martin Elia a.k.a JP akipokea fomu ya kugombea ujumbe wa kamati ya utendaji wa Simba Sports Club toka kwa Bw. Khalid Kamuguna. Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika mwisho wa mwezi juni mwaka huu.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili19 Jun
Raia wa Liberia awania uongozi wa FIFA
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Kadu aponda uongozi Simba
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa klabu ya Simba, Mwina Kaduguda ‘Simba wa Yuda’, ameushukia uongozi unaomaliza muda wake chini ya Mwenyekiti Aden Rage ‘Tutu Vengere’, kuwa hakuna kitu cha msingi ulichokifanya...
11 years ago
Mwananchi23 Jun
Kipimo cha uongozi si kuifunga Simba au Yanga
11 years ago
Uhuru Newspaper02 Jul
Mufti Simba ashusha rungu, ang’oa uongozi
NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
SHEIKH Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bn Simba, ametangaza kuung’oa uongozi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa na ule wa Quba jijini Arusha na kutangaza uongozi mpya.
Amesema uongozi huo, utakaa madarakani hadi pale atakapofanya mabadiliko mengine ikilazimika.
Kutangazwa kwa uongozi huo, kumetengua kitendaliwa cha muda mrefu kuhusu viongozi halali wa Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) kwa wilaya ya Arusha na mkoa wa Arusha.
Kabla ya kutangaza uamuzi huo, Mufti...
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Kipimo cha uongozi siyo kuifunga Simba au Yanga
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39chAM-T1wK7O8cwXqJfCxg3xJGSeI2RpYKMUD09kn0WTjfWscoZf8azyhKAGd8DtDtU05In7tPa2Fs9O7-kBTZ3/simba3.jpg?width=650)
WAGOMBEA UONGOZI SIMBA WACHUKUA FOMU KWA MBWEMBWE
9 years ago
StarTV18 Aug
UONGOZI SIMBA:Wasubiri ripoti ya kocha Kerr kuhusu kambi.
Klabu ya soka ya Simba inasubiri ripoti ya kocha mkuu wa timu hiyo Dylan Kerr ambayo itaeleza wapi timu hiyo itaweka kambi ya mwisho ya kujiandaa na ligi kuu soka Tanzania bara.
Simba imesema ripoti hiyo itaeleza ni mchezaji gani anatakiwa kusajiliwa miongoni mwa wale waliopo klabuni hapo kwa ajili ya majaribio.
Haji Manara ni Afisa Habari wa Simba amesema baada ya kumaliza mchezo wao dhidi ya URA ambao waliutumia kuwapima baadhi ya wachezaji lakini ripoti ya kocha ndiyo itategua kitendawili...
10 years ago
BBCSwahili02 Jun
Viera awania umeneja Newcastle United
9 years ago
Habarileo04 Nov
Samatta awania tuzo ya Mwanasoka Bora Afrika
MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mbwana Samatta ni miongoni mwa wachezaji 10 wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora wa mwaka kwa wachezaji wanaocheza soka Afrika.