Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkapa aponda uteuzi wa viongozi

Elias Msuya na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
RAIS mstaafu, Benjamin Mkapa, amekosoa uteuzi wa viongozi wa umma nchini akisema sera ya utumishi wa umma inayojali utaalamu haifuatwi.
Ametoa kauli hiyo wiki chache baada ya kuzuka mjadala wa uteuzi wa wakuu wa wilaya uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete, huku ikielezwa haukuzingatia weledi, maadili na uzoefu kwa walioteuliwa.
Akizungumza katika siku ya pili ya uzinduzi wa Kavazi la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam jana, Mkapa aliyekuwa mtoa mada,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Nape aponda wanaotumia majina ya viongozi kujinadi

KATIBU wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amewataka wanaCCM kutowasikiliza watu wanaopita kujinadi kwa kutumia majina ya viongozi wa CCM Taifa.

 

11 years ago

Habarileo

Viongozi Afrika hawana ujasiri-Mkapa

RAIS mstaafu, Benjamin Mkapa amesema hivi sasa hakuna viongozi wa Afrika wenye ujasiri na uthubutu kama walivyokuwa viongozi waasisi waliopigania uhuru wa nchi za Afrika na kukataa utawala wa kikoloni.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mkapa atetea sheria ya maadili ya viongozi

RAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, amesema kuwa mgongano wa maslahi miongoni mwa viongozi na watumishi wa Umma, unatokana na kutumia madaraka waliyonayo kuendeleza maslahi binafsi. Mkapa aliyasema...

 

11 years ago

Mwananchi

Mfumo wa uteuzi unavyotukosesha viongozi bora

Kwa muda mrefu Tanzania imekuwa na mfumo wa ajabu wa uteuzi wa watendaji wa kada mbalimbali katika vyombo vya kiserikali na vile vya umma.

 

10 years ago

Habarileo

Mkapa awapa viongozi Afrika siri ya maendeleo

Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin MkapaVIONGOZI wa Afrika wametakiwa kubuni mikakati itakayowawezesha wananchi wote kushiriki katika shughuli za kimaendeleo.

 

10 years ago

Habarileo

Mkapa afagilia sheria kuzuia ulafi wa viongozi

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Benjamin MkapaRAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ameungana na Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, kuunga mkono mapendekezo ya Sheria ya Mgongano wa Maslahi.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI MBALIMBALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Laurence Nyasebwa Mafuru (pichani)  kuwa Msajili wa Hazina kuanzia tarehe 5 Novemba, 2014. Taarifa iliyotolewa  Desemba 11, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue inasema kuwa kabla ya uteuzi wake, Bwana Mafuru alikuwa Mkuu wa Idara ya Rasilimali Fedha katika Ofisi ya Rais inayohusika na ufuatiliaji Miradi ya Matokeo Makubwa Sasa (PDB).  Aidha Bwana Mafuru pia alikuwa Kaimu Mtendaji...

 

10 years ago

KwanzaJamii

MKAPA: MMOMONYOKO WA MAADILI KWA VIONGOZI WA UMMA UNATISHA

Rais Mstaafu, Benjamini Mkapa, amesema tatizo la mgongano wa maslahi miongoni mwa viongozi na watumishi wa umma ni tatizo ambalo Tanzania inakabiliana nalo hivi sasa. Kadhalika, amesema licha ya serikali kufanikiwa katika kuhakikisha maadili nchini yanazingatiwa, bado lipo tatizo ambalo limeonekana kutopewa uzito unaostahili. Alisema hayo jijini Dar es Salaam jana wakati akifungua warsha ya kujadili mapendekezo ya kutungwa kwa sheria mpya ya kudhibiti mgongano wa maslahi miongoni mwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani