Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nape aponda wanaotumia majina ya viongozi kujinadi

KATIBU wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amewataka wanaCCM kutowasikiliza watu wanaopita kujinadi kwa kutumia majina ya viongozi wa CCM Taifa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Nape aponda kadi alizopewa Lowassa

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amesema kadi za chama hicho alizokabidhiwa Mgombea wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa akiwa Jimbo la Mtama si za kweli, bali mpango uliotengenezwa ili wajipatie umaarufu.

 

10 years ago

Mtanzania

Mkapa aponda uteuzi wa viongozi

Elias Msuya na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
RAIS mstaafu, Benjamin Mkapa, amekosoa uteuzi wa viongozi wa umma nchini akisema sera ya utumishi wa umma inayojali utaalamu haifuatwi.
Ametoa kauli hiyo wiki chache baada ya kuzuka mjadala wa uteuzi wa wakuu wa wilaya uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete, huku ikielezwa haukuzingatia weledi, maadili na uzoefu kwa walioteuliwa.
Akizungumza katika siku ya pili ya uzinduzi wa Kavazi la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam jana, Mkapa aliyekuwa mtoa mada,...

 

10 years ago

Vijimambo

Nape: Hakuna nafasi ya kukata rufaa majina yakikatwa

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye.
Dodoma.Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakutakuwa na nafasi ya kukata rufaa kwa wanachama  wa chama hicho walioomba ridhaa ya chama kupeperusha bendera ya CCM katika nafasi ya Urais iwapo majina yao yatakatwa.Kauli hiyo imetolewa mjini Dodoma leo na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama hicho, Nape Nnauye alipokutana na waandishi wa habari  wakati  akitoa taarifa ya ratiba ya vikao vya mchujo wa wagombea utakaoanza siku...

 

10 years ago

Vijimambo

VIDEO: NAPE ATHIBITISHA MAJINA MATANO BORA YALIYOPITISHWA NA KAMATI KUU

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari asubuhi hii nje ya Ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM Mjini Dodoma, akithibitisha taarifa iliyokuwa ikizagaa mitandaoni ya Wagombea Urais walioingia katika hatua ya tano bora, ambao aliwataja kuwa ni Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje, Mh. Bernard Membe, Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha-Rose Migiro, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mh....

 

10 years ago

Vijimambo

VIDEO: NAPE AFUNGUKA KUHUSU MAJINA MATANO BORA YALIYOPITISHWA NA KAMATI KUU

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Nape Nnauye akiongea na waaandishi wa habari mara baada ya kutoka kikao cha Kamati kuu. Picha na Kajunason Blog

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nane wakamatwa wakitumia majina ya viongozi kutapeli

KUNDI  la watu nane wanaodaiwa matapeli linashikiliwa na jeshi la Polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma ya kutumia majina ya viongozi wa juu wa serikali Akizungumza na waandishi wa habari juzi, Kamanda...

 

10 years ago

Habarileo

Ashangazwa na matumizi ya majina ya viongozi kuvuna miti

Ridhiwani KikweteMBUNGE wa Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani, Ridhiwani Kikwete (CCM) ameshangazwa na baadhi ya watu wanaotumia majina ya viongozi kuvuna miti bila ya kibali.

 

10 years ago

Michuzi

NAPE ATOA DARASA KWA VIONGOZI WA CCM UINGEREZA

 Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na viongozi wa mashina ya CCM Uingereza  ambapo aliwaambia matawi ya CCM nje ya nchi yawe mawakala wa kuleta mabadiliko ndani ya chama pamoja na kuwaunganisha watanzania kujikomboa kiuchumi Baadhi ya viongozi wa mashina ya CCM Uingereza wakifuatilia mafunzo kutoka kwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye aliyekuwa akitoa somo juu ya Wajibu wa Matawi ya CCM nje ya Nchi. Viongozi wa mashina wakisikiliza kwa makini.
BOFYA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani