Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nape aponda kadi alizopewa Lowassa

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amesema kadi za chama hicho alizokabidhiwa Mgombea wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa akiwa Jimbo la Mtama si za kweli, bali mpango uliotengenezwa ili wajipatie umaarufu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Nape aponda wanaotumia majina ya viongozi kujinadi

KATIBU wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amewataka wanaCCM kutowasikiliza watu wanaopita kujinadi kwa kutumia majina ya viongozi wa CCM Taifa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Lowassa akabidhiwa rasmi kadi ya CHADEMA

MMGL0885

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema,Freeman Mbowe akimkabidhi kadi ya uanachama wa chama hicho, Mh.Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa leo katika hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam.

MMGL0688

 Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa akizungumza na mamia wakati wa kutangaza adhima yake ya kujiunga na Chadema katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam.

MMGL0816

 Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa akijibu maswali ya waandishi wa habari juu ya kujunga kwake katika Hoteli ya Bahari Beach leo jijini Dar es...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa, mkewe watua Chadema, wakabidhiwa kadi

>Hatimaye ameingia Chadema. Ilianza kama uvumi lakini jana ilikuwa dhahiri baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kutangaza rasmi kukihama chama tawala, CCM na kujiunga na Ukawa kupitia Chadema, huku akisisitiza; “Sasa basi, imetosha.”

 

10 years ago

GPL

LOWASSA RASMI CHADEMA, AKABIDHIWA KADI, ASEMA HAUSIKI NA RICHMOND

Mhe. Freeman Mbowe (katikati) kulia kwake ni Regina Lowassa (mke wa Lowassa) na kushoto kwake ni Edward Lowassa baada ya kukabidhiwa kadi cha Chadema. PICHA ZAIDI BONYEZA HAPA ===>http://bit.ly/1KvrOpq

 

10 years ago

Vijimambo

HATIMAYE EDWARD LOWASSA AJIUNGA RASMI CHADEMA NA AKABIDHIWA KADI

Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa amejiunga rasmi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), leo Jijini Dar.
Lowassa: Namshukuru mke wangu Regina, wanangu na wanafamilia katika kipindi hiki kigumu kilichojitokeza.Lowassa: Nawashukuru wanaCCM waliojitokeza kuniunga mkono wakati nikitafuta wadhamini.
Lowassa: Kilichotokea Dodoma, ni kupora madarakani ya kamati kuu, waswahili wanasema kubaka madaraka.Lowassa: Chuki na roho mbaya zilitawala licha ya mimi kuwa mgombea mwenye ushawishi na...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa ajiunga rasmi na Ukawa, akabidhiwa kadi ya uanachama Chadema

Lowassa ametangaza uamuzi huo leo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar

 

9 years ago

GPL

NAPE AMUUMBUA LOWASSA!

Erick Evarist KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM) Nape Nnauye amemuumbua waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwa kumwelezea kama mtu aliyenunua nafasi anayoigombea kwa Chama Cha Maendeleo na Demoktrasia (Chadema).  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1TMQte0

 

10 years ago

Vijimambo

Nape ampongeza Lowassa.

Siku moja baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kusitisha makundi yanayokwenda kumshawishi kugombea urais, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, amempongeza kwa kutii agizo la chama hicho.

Nape amesema hatua hiyo ya Lowassa ambaye ni Mbunge wa Monduli ni nzuri kwa kuamua kusitisha makundi kwenda kumshawishi agombee urais, ambayo kwa siku chache mfululizo yalikwenda nyumbani kwake Monduli na mjini Dodoma kwa nia hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari jana akiwa katika...

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani