Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nape ampongeza Lowassa.

Siku moja baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kusitisha makundi yanayokwenda kumshawishi kugombea urais, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, amempongeza kwa kutii agizo la chama hicho.

Nape amesema hatua hiyo ya Lowassa ambaye ni Mbunge wa Monduli ni nzuri kwa kuamua kusitisha makundi kwenda kumshawishi agombee urais, ambayo kwa siku chache mfululizo yalikwenda nyumbani kwake Monduli na mjini Dodoma kwa nia hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari jana akiwa katika...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Odinga ampongeza Magufuli, amshauri Lowassa

Waziri Mkuu wa zamani Kenya Raila Odinga amempongeza John Magufuli baada yake kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais Tanzania. Aidha, amemshauri mgombea wa upinzani Edward Lowassa.

 

9 years ago

Vijimambo

Raila Odinga Ampongeza Magufuli, Atoa Ushauri Kwa Lowassa


Waziri Mkuu wa zamani Kenya Raila Odinga amempongeza John Magufuli baada yake kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais Tanzania.Aidha, amemshauri mgombea wa upinzani Edward Lowassa Kuwa Kama Hajakubaliana na Matokeo basi Aende Mahakama kushtaki Kama yeye Alivyofanya wakati akigombea Urais Kenya na Kushindwa na Kenyatta.....Quote: What we have, what we wish we had - ambitions fulfilled, ambitions disappointed, investments won, investments lost, elections won, elections lost - these things may...

 

9 years ago

Michuzi

Raila Odinga ampongeza Dkt Magufuli, amshauri Lowassa aende mahakamani kama hajaridhika

Waziri Mkuu wa zamani Kenya Raila Odinga amempongeza Dkt. John Pombe Joseph Magufuli baada yake kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa Urais Tanzania.Akiongea katika mahojiano na BBC, Mhe Odinga amemshauri mgombea wa upinzani Mhe. Edward Lowassa Kuwa Kama Hajakubaliana na Matokeo basi Aende Mahakama kushtaki Kama yeye Alivyofanya wakati akigombea Urais Kenya na kushindwa na Rais Uhuru Kenyatta.Ameeleza pia matumaini yake kwamba Dkt. Magufuli atahakikisha kuendelea kwa uhusiano mzuri uliopo katia...

 

9 years ago

GPL

NAPE AMUUMBUA LOWASSA!

Erick Evarist KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM) Nape Nnauye amemuumbua waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwa kumwelezea kama mtu aliyenunua nafasi anayoigombea kwa Chama Cha Maendeleo na Demoktrasia (Chadema).  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1TMQte0

 

9 years ago

Habarileo

Nape aponda kadi alizopewa Lowassa

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amesema kadi za chama hicho alizokabidhiwa Mgombea wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa akiwa Jimbo la Mtama si za kweli, bali mpango uliotengenezwa ili wajipatie umaarufu.

 

9 years ago

Mwananchi

Nape: Muombeeni dua Lowassa ashuhudie matokeo

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amewaomba wananchi kumuombea dua njema mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa ili Oktoba 25 ashuhudia ushindi wanaoupata CCM.

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Mwananchi

Lowassa atua kwa Nape, Sumaye, Tambwe wamvaa

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa jana alitua katika Jimbo la Mtama ambalo Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye anawania ubunge na kuahidi kujenga viwanda ili kuwasaidia wananchi kuondokana na umaskini ambao alisema anauchukia.

 

10 years ago

Vijimambo

Moto wa Lowassa sasa watikisa CCM. Nape aibuka, ataka asikaribishe makundi kumshawishi urais.

Kufuatia makundi mbalimbali yanayojitokeza kwenda nyumbani kwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kumshawishi kugombea urais, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hatua hiyo itamfanya akose sifa za kugombea nafasi hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari waliopo katika msafara wa Katibu Mkuu wa CCM waliotaka ufafanuzi kuhusu hali hiyo, Katibu wa Halmashauri Kuu (Nec), Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alisema matendo yanayoendelea kufanywa na Lowassa, ambaye ni Mbunge wa Monduli ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani