Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAPE AMUUMBUA LOWASSA!

Erick Evarist KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM) Nape Nnauye amemuumbua waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwa kumwelezea kama mtu aliyenunua nafasi anayoigombea kwa Chama Cha Maendeleo na Demoktrasia (Chadema).  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1TMQte0

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Nape ampongeza Lowassa.

Siku moja baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kusitisha makundi yanayokwenda kumshawishi kugombea urais, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, amempongeza kwa kutii agizo la chama hicho.

Nape amesema hatua hiyo ya Lowassa ambaye ni Mbunge wa Monduli ni nzuri kwa kuamua kusitisha makundi kwenda kumshawishi agombee urais, ambayo kwa siku chache mfululizo yalikwenda nyumbani kwake Monduli na mjini Dodoma kwa nia hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari jana akiwa katika...

 

9 years ago

Habarileo

Nape aponda kadi alizopewa Lowassa

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amesema kadi za chama hicho alizokabidhiwa Mgombea wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa akiwa Jimbo la Mtama si za kweli, bali mpango uliotengenezwa ili wajipatie umaarufu.

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Mwananchi

Nape: Muombeeni dua Lowassa ashuhudie matokeo

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amewaomba wananchi kumuombea dua njema mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa ili Oktoba 25 ashuhudia ushindi wanaoupata CCM.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa atua kwa Nape, Sumaye, Tambwe wamvaa

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa jana alitua katika Jimbo la Mtama ambalo Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye anawania ubunge na kuahidi kujenga viwanda ili kuwasaidia wananchi kuondokana na umaskini ambao alisema anauchukia.

 

10 years ago

Vijimambo

Moto wa Lowassa sasa watikisa CCM. Nape aibuka, ataka asikaribishe makundi kumshawishi urais.

Kufuatia makundi mbalimbali yanayojitokeza kwenda nyumbani kwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kumshawishi kugombea urais, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hatua hiyo itamfanya akose sifa za kugombea nafasi hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari waliopo katika msafara wa Katibu Mkuu wa CCM waliotaka ufafanuzi kuhusu hali hiyo, Katibu wa Halmashauri Kuu (Nec), Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alisema matendo yanayoendelea kufanywa na Lowassa, ambaye ni Mbunge wa Monduli ni...

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA- NAWAPONGEZA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA NA NAPE KWA KAZI KUBWA WANAYOIFANYA YA KUKIIMARISHA CHAMA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa kwa furaha na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa wakati wa mapokezi  yaliyofanyika Makuyuni, tayari kuanza ziara mkoani Arusha leo.ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, pamoja na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuziMhe. Lowassa amewafagilia Kinana na Nape kwa kazi nzuri wanaoifanya ya kuzunguka mikoa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

JK amuumbua Sitta

SIKU chache baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta kuwakejeli waandishi wa vyombo vya habari, akidai hawezi kuwashukuru kwa sababu wanapotosha habari zake, Rais Jakaya Kikwete,...

 

10 years ago

GPL

MAIMARTHA AMUUMBUA SAJENT

Na Hamida Hassan
Kumekuwa na madai kuwa, mwanadada Husna Sajent ameolewa na msanii mwenzake wa filamu, Salim Ahmed ‘Gabo’ lakini wenyewe wamekuwa wakikanusha! Hata hivyo, juzikati Maimartha Jesse ‘Mai’ alimwaga mchele mbele ya kuku kwa kumuita Husna ‘Mrs Gabo’. Maimartha Jesse ‘Mai’. Mai alifanya hivyo pale alipokuwa akiwatambulisha mastaa waliohudhuria sherehe ya ‘baby...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani