Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nape: Muombeeni dua Lowassa ashuhudie matokeo

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amewaomba wananchi kumuombea dua njema mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa ili Oktoba 25 ashuhudia ushindi wanaoupata CCM.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Nape ampongeza Lowassa.

Siku moja baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kusitisha makundi yanayokwenda kumshawishi kugombea urais, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, amempongeza kwa kutii agizo la chama hicho.

Nape amesema hatua hiyo ya Lowassa ambaye ni Mbunge wa Monduli ni nzuri kwa kuamua kusitisha makundi kwenda kumshawishi agombee urais, ambayo kwa siku chache mfululizo yalikwenda nyumbani kwake Monduli na mjini Dodoma kwa nia hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari jana akiwa katika...

 

9 years ago

GPL

NAPE AMUUMBUA LOWASSA!

Erick Evarist KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM) Nape Nnauye amemuumbua waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwa kumwelezea kama mtu aliyenunua nafasi anayoigombea kwa Chama Cha Maendeleo na Demoktrasia (Chadema).  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1TMQte0

 

9 years ago

Habarileo

Nape aponda kadi alizopewa Lowassa

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amesema kadi za chama hicho alizokabidhiwa Mgombea wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa akiwa Jimbo la Mtama si za kweli, bali mpango uliotengenezwa ili wajipatie umaarufu.

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Mwananchi

Lowassa atua kwa Nape, Sumaye, Tambwe wamvaa

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa jana alitua katika Jimbo la Mtama ambalo Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye anawania ubunge na kuahidi kujenga viwanda ili kuwasaidia wananchi kuondokana na umaskini ambao alisema anauchukia.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI: MUOMBEENI MAMA YANGU HAWEZI HATA KUJIGEUZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, amewaomba Watanzania kuendelea kumuombea Mama yake mzazi ambaye amelala kitandani kwa kipindio cha miaka miwili sasa bila kujigeuza wala kula.

Kauli hiyo ameitoa leo Juni 16, 2020, wakati wa hotuba yake  ya kuvunja rasmi Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, jijini Dodoma.

"Ninawaomba muendelee kumuombea mama yangu ambaye amekaa na Kiharusi hawezi akazungumza, hawezi akajigeuza, hawezi akala, anakula kwa kutumia mpira...

 

9 years ago

BBCSwahili

Lowassa apinga matokeo ya uchaguzi TZ

Mgombea wa urais kupitia tiketi ya CHADEMA Edward Lowassa amesema kuwa hatokubali matokeo ya uchaguzi wa urais yanayoendelea kutolewa na tume ya uchaguzi nchini Tanzania NEC.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Siwezi kukubali matokeo kama..

Mgombea urais kupitia Chadema anayeungwa mkono na vyama vya Ukawa, Edward Lowassa amesema kuwa hataweza kukubali kushindwa katika kinyang’anyiro hicho mpaka itakapothibitika kuwa uchaguzi ulikuwa huru na haki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani