Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAIMARTHA AMUUMBUA SAJENT

Na Hamida Hassan
Kumekuwa na madai kuwa, mwanadada Husna Sajent ameolewa na msanii mwenzake wa filamu, Salim Ahmed ‘Gabo’ lakini wenyewe wamekuwa wakikanusha! Hata hivyo, juzikati Maimartha Jesse ‘Mai’ alimwaga mchele mbele ya kuku kwa kumuita Husna ‘Mrs Gabo’. Maimartha Jesse ‘Mai’. Mai alifanya hivyo pale alipokuwa akiwatambulisha mastaa waliohudhuria sherehe ya ‘baby...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

JK amuumbua Sitta

SIKU chache baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta kuwakejeli waandishi wa vyombo vya habari, akidai hawezi kuwashukuru kwa sababu wanapotosha habari zake, Rais Jakaya Kikwete,...

 

11 years ago

GPL

SAJENT: NITAZAA KIJIJI

Stori: Hamida Hassan KIMWANA Manywele 2011, Husna Maulid ‘Sajent’ amesema kuwa anapenda watoto hivyo yupo radhi kuzaa watoto wengi kupita maelezo hata kijiji kizima. Kimwana Manywele 2011, Husna Maulid ‘Sajent’. Sajent alifunguka hayo baada ya kuulizwa na safu hii kama ana mpango wa kuzaa tena tofauti na mtoto aliyezaa na Prezidaa wa Mashujaa Music Band, Charles Baba ‘Chaz Baba’....

 

10 years ago

GPL

NAPE AMUUMBUA LOWASSA!

Erick Evarist KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM) Nape Nnauye amemuumbua waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwa kumwelezea kama mtu aliyenunua nafasi anayoigombea kwa Chama Cha Maendeleo na Demoktrasia (Chadema).  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1TMQte0

 

10 years ago

GPL

WEMA AMUUMBUA KAJALA

STORI: Musa Mateja/Amani HABARI ya mjini ni kwamba, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amedaiwa kumuumbua shosti wake wa zamani, Kajala Masanja kwa kumwaga ‘ubuyu’ kwamba amefilisika baada ya kigogo maarufu kama CK anayedaiwa kuwa ndiye mpenzi wake, kuyumba kiuchumi, Amani linakupa mchapo kamili. Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Kigogo huyo aliyewahi kuwa na uhusiano...

 

9 years ago

Bongo Movies

Sajent na Nisha Wamgombea Bwana

WAIGIZAJI wa filamu Bongo, Husna Iddi ‘Sajent’ na mwenzake Salima Jabu ‘Nisha’ wanadaiwa kuwa katika ugomvi mkubwa kumgombea msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Barakah Andrew ‘Barakah Da Prince’

Chanzo makini kilicho karibu na wasanii hao kinasema Sajenti ndiye aliyeingilia kati penzi la wawili hao baada ya ujumbe wake wa simu kukutwa katika simu ya mkali huyo wa Bongo Fleva ambaye amekuwa katika uhusiano na Nisha kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.

“Kuna siku Nisha alifuma meseji kwenye simu ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Shahidi amuumbua mshtakiwa mahakamani

Shahidi wa kwanza katika kesi ya wizi wa Sh23.4 milioni inayomkabili mfanyabishara Proches Mrosso (33), mkazi wa Mbezi Salasala, ameieleza Mahakama ya Wilaya ya Ilala jinsi mshtakiwa alivyokuwa akichukua fedha hizo kidogo kidogo hadi kujenga nyumba yake na kusababishia hasara kwa kampuni.

 

10 years ago

GPL

BABA AMUUMBUA MAMA KANUMBA!

Gabriel Ng’osha na Gladness Mallya  
BABA wa marehemu mwigizaji Steven Kanumba, Charles Kanumba, amemuumbua mwanamke aliyezaa naye staa huyo, Flora Mtegoha kwa kitendo chake cha kufuatilia maisha ya msichana aliyewahi kuwa mpenzi wa mtoto wao, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Baba wa marehemu mwigizaji Steven Kanumba, Charles Kanumba. Akizungumza kwa njia ya simu mwanzoni mwa wiki hii, mzee huyo anayeishi...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Kamanda Sabas amuumbua Lema



NA SHAABAN MDOE, ARUSHAKAMANDA wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas amemzima mbunge wa Arusha, Godbless Lema kwa kumweleza kuwa jeshi hilo haliwajibiki kutoa taarifa za uhalifu kwa Waziri Kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani. Kauli ya Kamanda Sabas imetokana na Lema kudai kuwa jeshi hilo haliwasilishi kwake taarifa za matukio ya kihalifu yanayotokea Arusha na kwamba, hiyo inaonyesha ni dharau. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda Sabas alisema polisi hawawajibiki kutoa taarifa...

 

11 years ago

GPL

CHAZ BABA: SAJENT AMEGOMEA MWANANGU

Na Musa Mateja
PREZIDAA wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ amefunguka kuwa anatamani kuishi na mwanaye aliyezaa na mwigizaji Husna Idd ‘Sajent’ lakini mzazi mwenziye huyo amekuwa akimgomea. Prezidaa wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ akiwa kwenye ofisi za Global Publishers. Akizungumza na paparazi wetu, Chaz Baba alisema kabla hajaoa alikuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani