Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamanda Sabas amuumbua Lema



NA SHAABAN MDOE, ARUSHAKAMANDA wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas amemzima mbunge wa Arusha, Godbless Lema kwa kumweleza kuwa jeshi hilo haliwajibiki kutoa taarifa za uhalifu kwa Waziri Kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani. Kauli ya Kamanda Sabas imetokana na Lema kudai kuwa jeshi hilo haliwasilishi kwake taarifa za matukio ya kihalifu yanayotokea Arusha na kwamba, hiyo inaonyesha ni dharau. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda Sabas alisema polisi hawawajibiki kutoa taarifa...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA OPERESHENI NA MAFUNZO CP SABAS AAGIZA MBUNGE GODBLESS LEMA ATAFUTWE, AKAMATWE POPOTE ALIPO

Na Mwandishi Wetu, Michuzi Blogu ya Jamii
KAMISHNA wa Operesheni na Mafunzo Liberatus Sabas, amewasili mkoani Singida na kisha kutumia nafasi hiyo  ufafanuzi kuhusu matukio ya mauaji ya watu 14 yaliyotokea wilayani Manyoni mkoani humo kuanzia mwaka jana mpaka Februari mwaka huu huku akitoa maagizo ya kutafutwa na kukamatwa kwa Mbunge wa Arusha  Mjini Godbless Lema.
Akizungumza leo mkoani Singida Kamishna Sabas amewaambia waandishi wa habari kuwa taarifa hizo za uongo ambazo zilisambazwa...

 

5 years ago

CCM Blog

KAMANDA CP SABAS AKUTANA NA KOKOSI MAALUM CHA KUPAMBANA NA UHALIFU MTWARA

    Mapema leo 30/03/2020 katika Uwanja wa Mazoezi wa Kikosi cha kutuliza Ghasia  Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi La Polisi CP Liberatus Sabas, ameongea na Askari wa Vikosi Maalum kutoka mikoa mbalimbali waliowasili mkoani Mtwara kwaajili ya kuimalisha Ulinzi katika mpaka ya Tanzania na Msumbiji baada ya kutokea machafuko nchini humo.
   Kamishna wa Opereshni na Mafunzo CP Liberatus Sabas, akikagua moja ya silaha aina ya Mota ambayo itatumika katika Operesheni ya kuimalisha ulinzi...

 

11 years ago

Michuzi

HONGERA KAMANDA MZINGA KWA KUTEULIWA KUWA KAMANDA WA POLISI MKOA WA LINDI

Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Lindi(LPC) Inatoa Pongezi kwa ACP Renatha Mzinga(pichani) aliekuwa Ofisa Mnadhimu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi kwa kuteuliwa na MKUU wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa LINDI. Taarifa iliyotolewa leo na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Lindi,Abdulaziz Ahmeid ameeleza kuwa kuwa Klabu hiyo Imepokea mabadiliko hayo na kuhaidi Ushirikiano mkubwa baina ya klabu na Jeshi hilo.  "Kwa niaba ya wanahabari...

 

10 years ago

Tanzania Daima

JK amuumbua Sitta

SIKU chache baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta kuwakejeli waandishi wa vyombo vya habari, akidai hawezi kuwashukuru kwa sababu wanapotosha habari zake, Rais Jakaya Kikwete,...

 

10 years ago

GPL

WEMA AMUUMBUA KAJALA

STORI: Musa Mateja/Amani HABARI ya mjini ni kwamba, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amedaiwa kumuumbua shosti wake wa zamani, Kajala Masanja kwa kumwaga ‘ubuyu’ kwamba amefilisika baada ya kigogo maarufu kama CK anayedaiwa kuwa ndiye mpenzi wake, kuyumba kiuchumi, Amani linakupa mchapo kamili. Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Kigogo huyo aliyewahi kuwa na uhusiano...

 

9 years ago

GPL

NAPE AMUUMBUA LOWASSA!

Erick Evarist KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM) Nape Nnauye amemuumbua waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwa kumwelezea kama mtu aliyenunua nafasi anayoigombea kwa Chama Cha Maendeleo na Demoktrasia (Chadema).  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1TMQte0

 

10 years ago

GPL

MAIMARTHA AMUUMBUA SAJENT

Na Hamida Hassan
Kumekuwa na madai kuwa, mwanadada Husna Sajent ameolewa na msanii mwenzake wa filamu, Salim Ahmed ‘Gabo’ lakini wenyewe wamekuwa wakikanusha! Hata hivyo, juzikati Maimartha Jesse ‘Mai’ alimwaga mchele mbele ya kuku kwa kumuita Husna ‘Mrs Gabo’. Maimartha Jesse ‘Mai’. Mai alifanya hivyo pale alipokuwa akiwatambulisha mastaa waliohudhuria sherehe ya ‘baby...

 

10 years ago

GPL

BABA AMUUMBUA MAMA KANUMBA!

Gabriel Ng’osha na Gladness Mallya  
BABA wa marehemu mwigizaji Steven Kanumba, Charles Kanumba, amemuumbua mwanamke aliyezaa naye staa huyo, Flora Mtegoha kwa kitendo chake cha kufuatilia maisha ya msichana aliyewahi kuwa mpenzi wa mtoto wao, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Baba wa marehemu mwigizaji Steven Kanumba, Charles Kanumba. Akizungumza kwa njia ya simu mwanzoni mwa wiki hii, mzee huyo anayeishi...

 

10 years ago

Mwananchi

Shahidi amuumbua mshtakiwa mahakamani

Shahidi wa kwanza katika kesi ya wizi wa Sh23.4 milioni inayomkabili mfanyabishara Proches Mrosso (33), mkazi wa Mbezi Salasala, ameieleza Mahakama ya Wilaya ya Ilala jinsi mshtakiwa alivyokuwa akichukua fedha hizo kidogo kidogo hadi kujenga nyumba yake na kusababishia hasara kwa kampuni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani