Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMISHNA WA OPERESHENI NA MAFUNZO CP SABAS AAGIZA MBUNGE GODBLESS LEMA ATAFUTWE, AKAMATWE POPOTE ALIPO

Na Mwandishi Wetu, Michuzi Blogu ya Jamii
KAMISHNA wa Operesheni na Mafunzo Liberatus Sabas, amewasili mkoani Singida na kisha kutumia nafasi hiyo  ufafanuzi kuhusu matukio ya mauaji ya watu 14 yaliyotokea wilayani Manyoni mkoani humo kuanzia mwaka jana mpaka Februari mwaka huu huku akitoa maagizo ya kutafutwa na kukamatwa kwa Mbunge wa Arusha  Mjini Godbless Lema.
Akizungumza leo mkoani Singida Kamishna Sabas amewaambia waandishi wa habari kuwa taarifa hizo za uongo ambazo zilisambazwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MBUNGE WA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA ADAKWA MKOANI SINGIDA KWA TUHUMA ZA KUSAMBAZA TAARIFA ZA UWONGO

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ASP) Sweetbert Njewike 





















Na Ismail Luhamba, SingidaJESHI la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia Mbunge wa Jimbo la Arusha mjini  Godbless Lema kwa tuhuma za kusamabaza taarifa za uongo kuwa watu 14 Wilayani Manyoni walifariki kwa kuchinjwa katika matukio mbalimbali.Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ASP) Sweetbert Njewike (pichani kulia) alisema wamemkamata Mbunge...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

GODBLESS LEMA AREJEA BUNGENI

Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amechaguliwa tena kwa mara ya pili kuongoza Jimbo la Arusha Mjini.Akimtangaza Mbunge huyo, Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Arusha Mjini, Juma Idd alisema Lema ameshinda kwa kura 68,848 sawa na asilimia 65.7.Alisema mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Philemon Mollel (Monban) amepata kura 35,607 sawa na asilimia 34 huku mgombea wa Chama cha

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kamanda Sabas amuumbua Lema



NA SHAABAN MDOE, ARUSHAKAMANDA wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas amemzima mbunge wa Arusha, Godbless Lema kwa kumweleza kuwa jeshi hilo haliwajibiki kutoa taarifa za uhalifu kwa Waziri Kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani. Kauli ya Kamanda Sabas imetokana na Lema kudai kuwa jeshi hilo haliwasilishi kwake taarifa za matukio ya kihalifu yanayotokea Arusha na kwamba, hiyo inaonyesha ni dharau. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda Sabas alisema polisi hawawajibiki kutoa taarifa...

 

10 years ago

Michuzi

MHE. GODBLESS LEMA ATUNGIWA NYIMBO

Msanii kabambe na hatari wa hip hop kutoka Arusha Kapuku Digital amemtungia Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema nyimbo kabambe kuelekea uchaguzi mkuu isikilize hapa bonge la ngoma hakika mapambano yanaendelea na ameahidi atakua nyuma yake wakati wote wa uchaguzi kwa hali na mali..Download nyimbo hiyo hapa: HIT SONG  https://mkito.com/song/mfalme-lema/13624

 

5 years ago

The Citizen Daily

DPP vows to act tough against Arusha MP Godbless Lema

DPP vows to act tough against Arusha MP Godbless Lema  The Citizen Daily

 

10 years ago

GPL

NINGEKUWA MIMI GODBLESS LEMA, NINGETHIBITISHA KAULI YANGU KUHUSU CHAGONJA

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Jonathan Lema. Kwako Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Jonathan Lema. Najua hunijui na hakuna mazingira yanayoweza kutukutanisha pamoja lakini hilo halinizuii kukufikishia ujumbe ninaotaka kukupa. Mheshimiwa, mimi sikuzaliwa Oktoba 26, 1976 kama wewe. Sikusoma Shule ya Msingi Kalangala kuanzia mwaka 1983 hadi 1989 wala sikujiunga na Sekondari ya Geita na baadaye kusoma kidato cha tano na sita...

 

9 years ago

Mwananchi

DC aagiza mratibu wa maabara akamatwe

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, Hafsa Mtasiwa ameagiza kukamatwa kwa mratibu wa maabara halmasharuri ya mji  anayedaiwa kujaribu kuiba vifaa vya kupimia malaria,  MRDT.

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya Godbless Lema kutangazwa mshindi ubunge Arusha, Mollel ameyasema haya

Weekend iliyopita ulifanyika uchaguzi kwenye jimbo la Arusha mjini kumtafuta Mbunge ambaye ataliongoza jimbo hilo kwa miaka mitano ijayo ambapo Mshindi alitangazwa kuwa Godbless Lema wa CHADEMA, pamoja na ushindi wake kutangazwa aliyekua mgombea wa CCM Philemon Mollel amejitokeza kusema ushindi ni batili. Sababu zote zilizomfanya Mollel kusema ushindi huo ni batili zipo ukibonyeza play […]

The post Baada ya Godbless Lema kutangazwa mshindi ubunge Arusha, Mollel ameyasema haya appeared first...

 

5 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA JESHI LA POLISI, CP SABAS APOKEA MSAADA WA PIKIPIKI 10 KUTOKA KAMPUNI YA KINGLION



Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas, akisalimiana  na mwakilishi wa Kampuni ya utengenezaji wa pikipiki aina ya Kinglion baada ya kuwasili Makao Makuu ya Polisi Jijini Dar Es Salaam walizozitoa kwaajili yakusaidia shughuli mbalimbali za Jeshi la Polisi ikiwemo Doria.Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani