Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ashangazwa na matumizi ya majina ya viongozi kuvuna miti

Ridhiwani KikweteMBUNGE wa Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani, Ridhiwani Kikwete (CCM) ameshangazwa na baadhi ya watu wanaotumia majina ya viongozi kuvuna miti bila ya kibali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Hoja ya Haja kuhusiana na matumizi ya majina ya asili ya kibantu

Habari za kazi Ankal.
Katika kipindi cha wiki moja nimekuwa nikitazama tamthilia ya Kiswahili inayoitwa The team(wengi watakuwa wanaifahamu). Napenda kuwapongeza watayarishaji na waigizaji wa tamthilia hii kutokana na ufanisi waliouonyesha katika kuiandaa tamthilia.
 Kama Mtanzania nimevutiwa na kujivunia kwa mengi,mojawapo ikiwa ni matumizi fasaha ya lugha ya Kiswahili,kitu ambacho ni vigumu kukiona katika filamu zingine au katika maisha ya kila siku.
Hoja yangu ni juu ya majina...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nane wakamatwa wakitumia majina ya viongozi kutapeli

KUNDI  la watu nane wanaodaiwa matapeli linashikiliwa na jeshi la Polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma ya kutumia majina ya viongozi wa juu wa serikali Akizungumza na waandishi wa habari juzi, Kamanda...

 

10 years ago

Habarileo

Nape aponda wanaotumia majina ya viongozi kujinadi

KATIBU wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amewataka wanaCCM kutowasikiliza watu wanaopita kujinadi kwa kutumia majina ya viongozi wa CCM Taifa.

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AONGOZA UPANDAJI MITI MABWEPANDE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA KUPANDA MITI

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akipanda mti kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mji Mpya iliyopo Mabwepande nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam kwenye kilelele cha maadhimisho ya upandaji miti yaliyofanyika kimkoa wilayani Kinondoni leo. Wa tatu kulia anayeshuhudia upandaji miti huo ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuf Mwenda akipanda mti katika maadhimisho hayo. Mratibu wa mazingira kutoka Taasisi ya EBPA, Charles Lugenga (kushoto),...

 

10 years ago

Michuzi

MKOA WA KAGERA WAADHIMISHA SIKU YA KUPANDA MITI KITAIFA WILAYANI ‘MISSENYI MISITU NI MALI PANDA MITI'

Aprili Mosi kila mwaka huwa ni siku ya kupanda miti kitaifa na mwaka huu 2015 mkoa wa Kagera ulipewa heshima ya kuadhimisha siku hiyo ambapo iliadhimishwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi na kushirikisha wadau mbalimbali pamoja na wananchi wanaojihusisha na kupanda miti na kutunza misitu.
Maadhimisho hayo yaliyoongozwa na mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Celestine Gesimba kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii ambapo maadhimisho hayo yalianzia katika Kijiji cha Bugolola eneo la...

 

10 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini waomba matumizi mazuri ya tehama

WATANZANIA wametakiwa kutumia vizuri teknolojia ya mawasiliano kwani inapotumika vibaya inakuwa chanzo cha matatizo.

 

5 years ago

Michuzi

Viongozi Rukwa waendelea kuhamasisha matumizi ya Nyungu

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ametoa wito kwa wananchi na wadau wote mkoani humo kuhakikisha wanachukua hatua za tahadhari ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19) kwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa Afya pamoja na kushauri matumizi ya Nyungu kwaajili ya kujifukiza.
Amehamasisha hayo ikiwa ni katika kuunga mkono kauli ya Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) pamoja na viongozi wengine wa juu nchini...

 

5 years ago

Michuzi

TFS YAADHIMISHA SIKU YA UPANDAJI MITI KITAIFA KWA KUGAWA BURE MICHE YA MITI KWA WAKAZI WA DAR

Na Said Mwishehe, Michuzi TV
KATIKA kuepuka mikusanyiko kama sehemu ya kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa COVID-19(Corona) , Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)umeamua kuadhimisha kilele cha siku ya upandaji miti kitaifa kwa kugawa miche ya miti kwa wananchi.
TFS imegawa miche hiyo ya miti ya aina mbalimbali leo Aprili 1, mwaka 2020 jijini Dar es Salaam huku ikitoa rai kwa wananchi wa Dar es Salaam,Tanga na Pwani kutumia kipindi hiki cha mvua za masika kupanda miti kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani