Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfumo wa uteuzi unavyotukosesha viongozi bora

Kwa muda mrefu Tanzania imekuwa na mfumo wa ajabu wa uteuzi wa watendaji wa kada mbalimbali katika vyombo vya kiserikali na vile vya umma.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Mkapa aponda uteuzi wa viongozi

Elias Msuya na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
RAIS mstaafu, Benjamin Mkapa, amekosoa uteuzi wa viongozi wa umma nchini akisema sera ya utumishi wa umma inayojali utaalamu haifuatwi.
Ametoa kauli hiyo wiki chache baada ya kuzuka mjadala wa uteuzi wa wakuu wa wilaya uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete, huku ikielezwa haukuzingatia weledi, maadili na uzoefu kwa walioteuliwa.
Akizungumza katika siku ya pili ya uzinduzi wa Kavazi la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam jana, Mkapa aliyekuwa mtoa mada,...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI MBALIMBALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Laurence Nyasebwa Mafuru (pichani)  kuwa Msajili wa Hazina kuanzia tarehe 5 Novemba, 2014. Taarifa iliyotolewa  Desemba 11, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue inasema kuwa kabla ya uteuzi wake, Bwana Mafuru alikuwa Mkuu wa Idara ya Rasilimali Fedha katika Ofisi ya Rais inayohusika na ufuatiliaji Miradi ya Matokeo Makubwa Sasa (PDB).  Aidha Bwana Mafuru pia alikuwa Kaimu Mtendaji...

 

9 years ago

Dewji Blog

Uteuzi wa Balozi wa Tanzania nchini Malawi na viongozi ngazi mbalimbali Wizara ya Mambo ya Nje

6

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Victoria Richard Mwakasege (pichani) kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi. Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Mwakasege alikuwa Naibu Balozi wa Tanzania nchini Burundi.

Aidha, Rais Kikwete amemteua Msaidizi wa Rais wa Diplomasia, Balozi Samwel Shelukindo kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje naUshirikiano wa Kimataifa.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) Balozi Ombeni...

 

9 years ago

Mwananchi

Namna ya kupangilia mfumo wa ulaji bora kwa afya thabiti

Maisha ya mwanadamu yanapitia hatua mbalimbali za maisha na ukuaji. Kila awamu ya maisha inahitaji ulaji wa chakula wa aina yake. Iwapo ni mtoto, mwili unahitaji virutubisho ili kusaidia ukuaji wa mwili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfumo Bora wa Muungano — Serikali Mbili Zenye Ngazi Tatu

TATIZO moja kubwa la mjadala wa muundo wa Muungano ulivyo sasa, ni kuwa kama taifa tunalazimishwa kufikiria kati ya aina mbili tu za muundo – ama serikali mbili zilivyo sasa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Tanzania haizalishi viongozi bora’

TANZANIA ni miongoni mwa nchi za Afrika zenye tatizo la kuzalisha viongozi bora wenye kufuata sera za uongozi na kujua wajibu wao kwa watu wanaowaongoza. Kauli hiyo imetolewa mwishoni mwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani