Uteuzi wa Balozi wa Tanzania nchini Malawi na viongozi ngazi mbalimbali Wizara ya Mambo ya Nje
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Victoria Richard Mwakasege (pichani) kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi. Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Mwakasege alikuwa Naibu Balozi wa Tanzania nchini Burundi.
Aidha, Rais Kikwete amemteua Msaidizi wa Rais wa Diplomasia, Balozi Samwel Shelukindo kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje naUshirikiano wa Kimataifa.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) Balozi Ombeni...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWIZARA MAMBO YA NJE YAMUITA KAIMU BALOZI WA MAREKANI HAPA NCHINI KUTOA UFAFANUZI WA MASUALA MBALIMBALI
Kaimu Balozi huyo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kwenye Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es...
9 years ago
MichuziUTT-PID YAINGIA MAKUBALIANO NA WIZARA YA MAMBO YA NJE KWA DHUMUNI LA KUENDELEZA VIWANJA VINAVYOMILIKIWA NA WIZARA KATIKA BALOZI MBALIMBALI UGHAIBUNI
10 years ago
MichuziWIZARA YA MAMBO YA NJE YAMUAGA BALOZI WA SWEDEN ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI
10 years ago
VijimamboWIZARA YA MAMBO YA NJE YAMUAGA BALOZI WA INDIA ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI
Balozi wa India nchini Tanzania anayemaliza muda wake wa kazi, Mhe.Debnath Shaw akitoa hotuba yake ya kuaga mbele ya wageni waalikwa wakiwemo baadhi ya Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini wakiongozwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya wakati wa hafla ya chakula cha mchana iliyofanyika katika Hoteli ya New Afrika Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Julai, 2015.
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
10 years ago
Michuzi16 Sep
Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia Wizara ya Mambo ya Nje akutana na Balozi wa China nchini
11 years ago
Michuzi24 Jul
Wizara ya Mambo ya Nje yamuaga rasmi Balozi wa Norway nchini aliemaliza muda wake
10 years ago
MichuziWIZARA YA MAMBO YA NJE YAMUAGA RASMI BALOZI WA UBELGIJI ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI
10 years ago
MichuziMaafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje wamuaga Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai
Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai,Mh. Omar Mjenga akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa walipomtembelea ofisini kwake kumuaga leo.
10 years ago
VijimamboBALOZI MDOGO WA TANZANIA DUBAI AAGANA NA MAAFISA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga( watatu toka kushoto) katika picha ya pamoja na maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa walipotembelea ofisini kwake kumuaga. Maafisa hawa ni kati ta timu imara iliyofanikisha ziara ya kikazi ya Mh. Waziri Mkuu. nchi za Falme za Kiarabu kabla ya Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda kukatisha ziara hiyo baada ya kuitwa nyumbani na Mhe. Rais Jakaya Kikwete.
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10