CHINA NA TANZANIA ZAZINDUA UJENZI WA JENGO LA TAASISI YA MWALIMU NYERERE JIJINI DSM

Makamu wa Rais wa China Li Yuanchao (kushoto) na Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda (kulia) kwa pamoja wakizindua jiwe la msingi katika eneo litakapojengwa jengo la Taasisi ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa China Li Yuanchao (katikati) na Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda (wa pili kulia) kwa pamoja wakimwaga mchanga kuashiria kuanza kwa ujenzi jengo la Taasisi ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.Kulia ni Balozi wa China nchini Tanzania Lu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima12 Oct
Taasisi ya Mwalimu Nyerere yaandaa mdahalo
TAASISI ya Mwalimu Nyerere imeandaa mdahalo wa kukumbuka na kuenzi mchango wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere katika kujenga, kutetea, kulinda na kudumisha amani Duniani. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi...
11 years ago
GPLMAKONDA: SIKUVURUGA MKUTANO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE
10 years ago
GPLTAASISI YA MWALIMU NYERERE KUFANYA MKUTANO KESHO
11 years ago
VijimamboMAKONDA: SIKUVURUGA MKUTANO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE
(Patrick Bozohera na Gabriel Ng’osha/GPL)KATIBU Mwenezi Idara ya Hamasa na Chipukizi ya UVCCM, Paul Makonda, amekana kuhusika katika vurugu zilizotokea jana katika mdahalo wa Katiba Iliyopendekezwa ambao ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere chini ya Mwenyekiti wake Joseph Butiku.
Hayo ameyasema leo...
11 years ago
Michuzi.jpg)
10 years ago
Vijimambo
BALOZI SEIF AKUTANA NA UJUMBE WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif wa Kwanza kutoka kulia akiuhakikishia Ujumbe wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation kwamba Uchaguzi Mkuu wa Tarehe 25 Mwezi huu utafanyika katika misingi ya haki na amani hapa Zanzibar.
Ujumbe huo unaoongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wake Bwana Joseph Butiku wa Pili kutoka Kushoto up[o Zanzibar kukutana na Viongozi wa ngazi za juu kujaribu kusaidia mawazo ya kuona Taifa linaendelea kudumisha amani iliyopo Nchini. Picha na –OMPR – ZNZ.
Makamu wa...
10 years ago
VijimamboMDAHALO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WATAKA AMANI, WAPINGA RUSHWA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2015.
11 years ago
Dewji Blog12 Oct
Taasisi ya Mwalimu Nyerere yaandaa maonyesho na mdahalo wa kukumbuka miaka 15 ya kifo cha Baba wa Taifa
Na Anna Nkinda – Maelezo
Taasisi ya Mwalimu Nyerere kwa kushirikiana na Makumbusho ya Taifa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wameandaa maonyesho na mdahalo wa kukumbuka na kuenzi mchango wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika kujenga, kutetea, kulinda na kudumisha amani Duniani.
Maonyesho hayo ya siku tano ambayo yatafunguliwa tarehe 13 na kumalizika terehe 17 mwezi huu yatafanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa yaliyopo jijini Dar es Salaam.
Kwa...
10 years ago
MichuziMDAHALO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WATAKA AMANI, UMOJA NA HAKI KATIKA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25, 2015
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.